Balozi Seif atembelea maonyesho kuadhimisha miaka 50 ya muungano
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia Vibuyu na Chungu halisi vilivyotumiwa na Baba wa Taifa Marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuchanganya Udongo kuashiria...
View ArticleDk Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Elimu na mafunzo amali
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano...
View ArticleDk Bilal afungua kongamano la Muungano leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini...
View ArticleMaadhimisho ya siku ya mtoto yatima yafanyika Zanzibar
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Omar Dadi Shajak katikati akishirikiana na Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H Insani Yardimvakfi kutoka Uturuki kupanda Miti katika maadhimisho ya siku ya...
View ArticleWaumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Wakitoka Kanisani Baada ya Ibaada ya...
Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar Askofu Micheil Hafidh akisalimiana na waumini baada ya Ibaada ya Ijumaa Kuu iliofanyika kanisani hapo Waumini Kanisa la Mkunazini Zanzibar...
View ArticleMdau mambo ya Ubuyu hayoooo.......
Watalii wakimsikiliza Mtembeza Watalii Zanzibar akitowa maelezo ya moja ya Vivutio vya watalii na wananchi wa Zenj Ubuyu ambao hupendwa sana, Watalii hao wamepata fursa ya kuuonja ubuyu huo ambao...
View ArticleBalozi Seif azindua kampeni ya kutoa huduma za shindikizo la damu na kisukari
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanafunzi wa Udaktari Tanzania { TAMSA } kwa kushirikiana na wizara ya afya Zanzibar wakiendesha zoezi la siku nne la kupima, kutoa elimu na huduma za Dawa kwa...
View ArticleJamii yahimizwa kupanda miti kwa wingi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipanda mti katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti Kitaifa, katika eneo la barabara ya Jendele/Unguja Ukuu.Makamu wa Kwanza wa...
View ArticleHotuba ya Maalim Seif siku ya upandaji miti kitaifa
HOTUBA YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR, MHE. MAALIM SEIF SHARIFA HAMAD SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KATIKA ENEO LA BARABARA YA JENDELE - CHEJU - UNGUJA UKUU, MKOA WA KUSINI UNGUJA TAREHE 20...
View ArticleBalozi Seif: Kero za Muungano hazitoweza kupatiwa suluhisho endapo mchakato...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifunga Kongamano la Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutimia miaka 50 lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar...
View ArticleKongomano la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano
Dkt. Rasul Ahmed, akitowa Mada miaka 50 ya Muungano Hali ya Muungano (Tulipotoka na Tulipo ) akitowa Mada hiyo katika Kongamano la Maadhimisho ya miaka 50ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika...
View ArticleWenyeviti wa UKAWA Wazungumza na Waandishi wa Habari Zenj.
Viongozi wa UKAWA wakiwa katika mkutano na Waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya Mzsons Shangani Zanzibar baada ya mkutano wao kuahirishwa na jeshi la Polisi Zanzibar kwa sababu za kiusalama...
View ArticleMaonesho ya Vyuo Vikuu Zanzibar Kuadhimisha Miaka 50 ya Muungano wa...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Elimu Chukwani akitowa maelezo kwa wananchi wanaotembelea banda lao na kutowa maelezo ya elimu ya Sayansi viumbe vya baharini na nchi kavu. Mwanafunzi wa Chuo cha Utalii...
View ArticleAsia Idarous: Muziki wa mwambao asilia una mguso wake
Na Andrew ChaleMWANAMITINDO mkongwe na mdau wa muziki wa mwambao asilia, Asia Idarous Khamsin, amesema muziki huo una mguso wake hivyo jamii inatakiwa kuupokea na kuuenzi.Asia ambaye pia ni Mkurugenzi...
View ArticleKongamano la Kitaifa Linalozungumzia Rasimu ya Pili ya Katiba ya Jamhuri ya...
Mwenyekiti wa Kongamano la Kitaifa la Kujadili Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh. Khamis Yussuf, akizungumza katika Kongamano hilo na kutowa maelezo juu ya...
View Article