Familia zawatelekeza albino
Na Kadama Malunde, ShinyangaASILIMIA kubwa ya watoto wenye ulemavu wa ngozi (albino), wanaolelewa katika kituo cha Buhanghija kilichopo mjini Shinyanga, wametelekezwa na wazazi wao kiasi cha kufikia...
View ArticleJK, TUCTA wajadili maslahi ya wafanyakazi
Na Mwandishi wetuRAIS Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa...
View ArticleLowasa amlilia kada wa CCM
Na Kadama Malunde, ITILIMAWAZIRI Mkuu (mstaafu) Edward Lowasa, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mwanasiasa maarufu nchini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Bariadi kupitia CCM, Edward...
View ArticleShao:Ubinafsi utaua katiba mpya
Na Donald MartinASKOFU wa jimbo Katoliki la Zanzibar, Augustino Shao, ameyataka makundi yanayokinzana katika bunge maalum la katiba, kuachana na ubinafsi na itikadi za kisiasa ili kufikia muafaka...
View ArticleWanaotorosha nje mikarafuu waonywa
Na Mwandishi wetuMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotorosha kwa magendo miche ya mikarafuu na kuipeleka nje ya nchi. Alisema kitendo...
View ArticleBonaza la Ziro 3 Kupambana na Maambukizi ya Ukimwi Zanzibar Viwanja vya Amani.
Mwenyekiti wa Baraza la Maichezo Zanzibar BMZ Bi Sherry Khamis, akizindua Bonaza la Ziro Tatu kwa Vijana Kupiga Vita Maambukizo ya Ukimwi Zanzibar,akirusha mpira kulizindua kwa mpira wa peti, Bonaza...
View ArticleBalozi Seif azindua vyoo vya Skuli za kijitoupele
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akivizindua rasmi vyoo vya Skuli ya Kijitoupele A, B na Sekondari pamoja na Mifereji na Tangi la Maji vilivyojengwa na ufadhili ya Shirika la...
View ArticleDk Shein azipongeza taasisi za kukusanya kodi Zanzibar
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 22 Aprili , 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na...
View ArticleDk Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Fedha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi...
View ArticleHali ya Kisiasa ya Muungano wa Tanzania: Tulikotoka, tulipo na tuendako
HALI YA KISIASA YA MUUNGANO WA TANZANIA: TULIKOTOKA, TULIPO NA TUENDAKO Ndg.RASUL AHMED MHADHIRI IDARA YA SIASA NA UTAWALA, CHUO KIKUU DAR ES SALAAMMADA ILIYOWASILISHWA KWENYE KONGAMANO LA MUUNGANO WA...
View ArticleTBC iache mchezo huu mchafu
Na Salim Said Salim KWA miaka mingi iliyopita palisikika kilio cha kutaka vyombo vya habari vya serikali vibadilike na kuacha kuwa vya propaganda za serikali, chama tawala au taasisi yoyote nyingine....
View ArticleZiara ya Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kutembelea Mradi wa TASAF, Kunusuru...
Baadhi ya wajumbe wanchi wafadhili na viongozi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakielekea katika ukumbi maalum uliowekwa kwa ajili ya mkutano kuzungumza na walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya...
View ArticleJK awaonya walafi wa madaraka
Na Kija Elias, MwangaRais Jakaya Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa siasa, walioko ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wamekuwa waking’ang’ania madaraka, hali ambayo imekuwa ikileta...
View ArticleMkuchika: Mauaji ya vikongwe yameiporomosha Tanzania
Na Rose chapewa, MbeyaMAUAJI ya vikongwe, albino, rushwa na kujichukulia sheria mkononi, ni moja ya mambo yaliyosababisha nafasi ya Tanzaniakatika masuala ya utawala bora kushuka.Waziri wa Nchi, Ofisi...
View Article