Maalim Seif: Watanzania wana kila sababu ya kusherehekea miaka 50 ya muungano
Na Hassan Hamad, OMKR. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema Watanzania wana kila sababu ya kusherehekea miaka 50 ya Muungano kutokana na mafanikio yaliyopatikana....
View ArticleWawili mbaroni tuhuma mauaji ya mwanafunzi.
Na Haji Nassor, PembaJESHI la Polisi mkoa wa kusini Pemba, linawashikilia vijana wawili marafiki wa karibu wa marehemu Mohamed Soud Makame (17), wakidaiwa kuchangia mauaji yake.Akizungumza na...
View ArticleMkesha wa Sherehe za Miaka 50 ya Muungano Viwanja vya Maisara Zenj.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwinyi na Viongozi wengine wakifuatilia sherehe za mkeshwa wa Muungano katika viwanja vya Maisara Zanzibar ikisherehekewa na burudani mbalimbali...
View ArticleMambo ya Maendeleo hayo
Msururo huu wa magari katika barabara ya mlandege wakiwa katika foleni hii kutaka kuingia katika mji mkongwe wa Zanzibar kwa kufuata mahitaji yao na shughuli nyengine za kijamii.
View ArticleHappy Muungano Day Tanzania.
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 50 iliyopita. Globu ya Jamiii imnaungana na...
View ArticleMdau na ngombe akiwa hoiiii
Hii ni kumyima uhuru mnyama kwa kumfanyisha kazi bila ya kikomo na wakati mgumu,Kijana huyu akiwa na ngombe wake amezidiwa na mzigo aliobebeshwa.
View ArticleWadau wa Habari wakikata kiu
Wadau wa habari wapita maji safi na salama wakati wakiwa katika ziara yao, kutmbelea Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu, katika moja ya shehia zilioko katika mpango salama wa TASAF kunusuru...
View ArticleLengo ni kuharakisha kesi za kuhujumiwa watalii
Na Salum Vuai, MAELEZOSERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imeshauriwa kuanzisha mahakama maalumu kwa ajili ya kushughulikia kesi zinazohusu vitendo vya kuhujumiwa watalii na kuporwa mali zao.Akizungumza...
View ArticleNaibu Waziri wa Kazi Dkt Makongoro Mahanga Afungua Kongamano la Afyana...
Washiriki wakijiandikisha nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa kongamano la afya na usalama katika matumizi ya kemikali sehemu za kaziZoezi la uandikishaji na uhakiki wa majina ya washiriki wa kongamano...
View ArticleSherehe za miaka 50 ya Muungano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru...
View ArticleSherehe za Miaka 50 ya Muungano. Haijawahipo kutokea ·JK: Tuna haki ya...
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamKILELE cha sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ‘nusu karne’ ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam jana zimefana na kuwa...
View ArticleBalozi Seif Akutana na Balozi Ndogo wa China Mjini Dodoma.
Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yunliang akiwasilisha agizo la Serikali yake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi la kuridhia na kukubali...
View ArticleRais Kikwete Awasalimia Wageni wake na kuwakaribisha Sherehe za Miaka 50 ya...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa alipowasili katika uwanja wa Uhuru katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyikana Zanzibar..Pembeni ni...
View Article