Rais Dkt. Jakaya Kikwete Azindua Rasmin Kituo cha Magonjwa ya Moyo katika...
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo...
View ArticleAsia Idaruos Awika na Mavazi ya Ubunifu Nchini Nigeria.
Keki ya Miaka ya 50 ya Muungano wa Tanzania ikipendeza ikisubiri kukatwa. kuadhimisha sherehe hiyo.Na Andrew ChaleMBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin mwishoni mwa wiki aliweza...
View ArticleDkt Shein Akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya...
View ArticleMwandishi wa Voice of America Amtembelea Waziri wa Habari Zanzibar Mhe. Said...
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk, akizungumza na Mwandishi wa habari wa Voice of American Dkt. Shaka Ssali., alipofika Ofisini kweke kwa mazungumzo....
View ArticleUKAWA rukhsa kuunguruma leo Zanzibar
Na Ibrahim Yamola, Mwananchi Dar es Salaam. Hatimaye mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uliokuwa umezuiwa kupisha sherehe za Muungano utafanyika leo katika Viwanja vya Kibandamaiti, Unguja...
View ArticleWarioba awataja wasaliti wa Nyerere
Na Kelvin Matandiko, Mwananchi Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema wanasiasa wanaomtuhumu kwa kumsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...
View ArticleWanaopenda matusi wafungue madarasa nje ya Bunge
Na Salim Said Salim WATANZANIA waliopo Bara na Visiwani na majirani zetu wanaofahamu lugha ya Kiswahili, wamejifunza mengi katika awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu la Katiba liliomalizika Dodoma hivi...
View ArticleDk Shein akutana na uongozi wa Ofisi ya makamo wa pili wa Rais Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya...
View ArticleScholarship for Tanzanians from the Government of Mauritius
Scholarship for Tanzanians from the Government of MauritiusThe Government of the Republic of Mauritius is offering scholarships for undergraduate studies in public tertiary education institutions in...
View ArticleRais Dkt Kikwete Akutana na Ujumbe wa Rais wa Burundi, na Viongozi wa Baraza...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam...
View ArticleJK Akabidhi Vitabu JWTZ.
Na Mwandishi wetuRAIS Jakaya Mrisho Kikwete, amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo vya jeshi ili kuongeza taaluma.Rais alikabidhi vitabu hivyo kwa Mkuu wa...
View ArticleWanaume watakiwa kushiriki chanjo za watoto wao
Na Masanja Mabula, PembaTatizo la akina baba kutoshiriki kikamilifu katika suala la chanjo kwa kufuatana na akinamama kuwapeleka watoto kliniki kwa ajili kupatiwa chanjo, limedaiwa kuwa moja ya sababu...
View ArticleMbunge, DC wamwaga pikipiki
Na Vicent Marwa,SimiyuMbunge wa jimbo la Kisesa (CCM) wilayani Meatu, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina na Mkuu wa wilaya hiyo, Rosemary Kirigini, wametoa pikipiki 25 zenye thamani ya shilingi milioni 55 kwa...
View ArticleWakamatwa na ‘unga’ uwanja wa ndege
Khamisuu Abdallah na Khamis AmaniWatu wawili wamekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Amani Abeid Amani Karume, wakisafirisha dawa za kulevya pipi 155 zenye uzito wa 2.12kg kutoka Zanzibar...
View Article1,034 wapima VVU
Na Mwashamba JumaJumla ya vijana 1,034 wakiwemo wanaume 692 na wanawake 342 kutoka makundi maalum, wamejitokeza kupima virusi vya UKIMWI kwa kipindi cha miezi sita.Kati ya vijana hao, 775 ambapo...
View ArticleUjenzi barabara za Konde, Gando waanza tena
Na Haji Nassor, PembaBaada ya kampuni ya MECCO kusimamisha ujenzi wa barabara za Gando na Konde kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, sasa ujenzi huo umenza tena, kwa matengenezo ya sehemu zilioathirika,...
View ArticleKivuko mto Kilombero chasombwa na maji
Na Judith Mpalanzi, KilomberoKivuko cha mto Kilombero kinachotumika kuvusha watu na mizigo kutoka na kwenda Ulanga, kimesombwa na maji na kumlazimu Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani...
View Article