Dkt. Rasul Ahmed, akitowa Mada miaka 50 ya Muungano Hali ya Muungano (Tulipotoka na Tulipo ) akitowa Mada hiyo katika Kongamano la Maadhimisho ya miaka 50ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima Mhe. Said Sued, akifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiwakilishwa katika Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Karume hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Dkt. Salim Othman Hamad,Akijadili Mada iliowakilishwa katika kongamano hilo.
Washiriki wakisikiliza Mada katika Kongamano hilo.lililoandaliwa na kujadili Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Baadhi ya washiri wa Kongomano hilo wakipata mawasiliano kupitia kwa muashiria alama kwa vitendo ili kupata mawasiliano Wananchi ambao wanao ulemevu wa kutokusikia.
Profesa Palamangamba M.Kabudi, akitowa Mada kuhusu Mtazamo wa Kisheria, kwa Wajumbe wa Kongamano hilo la kujadili miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mhe. Said Hassan, akijadilimada ya Mtazamo wa Kisheria wa Muungano wa Tanzania, wakati wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi wa Siasa, Taasisi za Dini Ngos na Wananchi.