Makamu wa Rais Afanya Ziara Kuagalia Athari za Mafuriko ya Mvua za Masika Dar...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na...
View ArticleMinister for Finance and CNN talk Investment and Entrepreneurship as Tanzania...
Hon. Saada Mkuya Salum, Tanzania's Minister for Finance. engages with CNN International on the role that the Government is playing in creating an environment that is conducive for investment in support...
View ArticlePBZ Yamuaga Staff wake Msaidizi Maalum wa Mkurugenzi Mtendaji. Ndg. Ame Haji...
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Amour, akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya PBZ Ndg. Abrahaman Mwinyimbegu na Mjumbe wa Bodi na Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamiii Zanzibar (ZSSF) Ndg....
View ArticleUZINDUZI WA MFUMO WA UWASILISHAJI WA MALALAMIKO KWA NJIA YA UJUMBE WA SIMU YA...
Na Ramadhani Ali , Maelezo Zanzibar.Tume ya Haki za Binadadamu na Utawala Bora Tanzania leo imezindua utaratibu mpya wa uwasilishaji wa malalamiko na taarifa kuhusu uvunjwaji wa wa haki za binadamu...
View ArticleAmjad Asimikwa Kamanda wa UVCCM Jimbo la Chumbuni. Jumla ya Makamanda Watano...
Kamanda mpya wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Ussi Salum Pondeza, Amesimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM Jimbo la Chumbuni, Zanzibar. Kamanda Mteule wa Vijana wa CCM Jimbo la Chumbuni, Ndg. Ussi Pondeza...
View ArticleDk Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Afya
Uongozi wa Wizara ya Afya ukiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpango wa kazi wa miezi 9 kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais...
View ArticleUsiku wa Mwambao Asilia Aprili 19
Na Andrew Chale KUNDI la Dar Modern Taarab na Nadd Ikhwan (Malindi), wanatarajiwa kutoa burudani ya aina yake katika onesho maalumu la ‘Usiku wa Mwambao Asilia’, ndani ya ukumbi wa Travertine,...
View ArticleDk. Shein asisitiza vipaumbele. Ni matumizi fedha za serikali
Na Said Ameir, IKULURAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza umuhimu wa Wizara na Idara za Serikali kuzingatia vipaumbele katika matumizi ya fedha...
View ArticleHati ya Muungano yatikisa Ikulu
Na Mwandishi wetuIKULU imeelezea kusikitishwa, kufadhaishwa na kusononeshwa, kuhusu madai kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa Aprili 24, 1964 si halali, kwa sababu hakuna hati ya...
View ArticleMjadala mkali Bunge la Katiba.
Na Mwantanga Ame, DodomaBAADA ya kuzuka utata mkubwa juu ya hati ya Muungano kama ipo ama haipo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utaribu, Steven Wasirra, amekubali yaishe baada ya kusema...
View ArticleRAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWA MAREHEMU...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014, siku...
View ArticleHATIMAYE WASHINDI WATATU WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS KANDA YA KATI...
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited - DodomaHii ni baada ya washindi watatu kutoka Kanda ya Kati kupatikana katika shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lililoendeshwa na Kampuni ya Proin...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELE KUKAGUA MABANDA YA MAONYESHO YA SHEREHE ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu Chungu na Vibuyu, vilivyotumika kuchanganya Udongo wa Tanganyika na Zanzibar, mwaka 1964,...
View ArticleDK SHEIN AIPONGEZA WIZARA YA BIASHARA KWA KUIFANYA MABADILIKO YA KUJIIMARISHA...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 16 April ,...
View ArticleKINANA AZINDUA MRADI WAUJENZI NYUMBA 60 INYONGA KATIKA WILAYA MPYA YA MLELE...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba 60 za makazi ya watu zinazojengwa na Shirika la Nyumba ya Taifa katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi.Katibu Mkuu wa...
View ArticlePresident Kikwete sent a congratulatory message to H.M Queen Margrethe II of...
H.E President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.M Queen Margrethe II of Denmark on the occasion of her 74th birthday on 16th April...
View ArticleTahadhari ya mvua kubwa
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA Simu: 255 22 2460735/2460706 FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056 Barua pepe:...
View Article