Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akizungumza na Meneja wa Kampuni ya Kimataifa ya uwekezaji vitega uchumi wa Kampuni ya Lucky Exports kutoka Nchini India Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Balozi Seif akisalimiana na Menaja wa Kampuni ya Lucky Exports ya India inayoptaka kuwekeza katika sekta za Afya na Viwanda vidogo vidogo vyua mazao ya Baharini.
Balozi Seif akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Lucky Exports Tawi la Tanzania Bwana Kim Mghaya.Kati kati yao ni Meneja wa Kampuni hiyo yenye makao makuu yake Nchini India Bwana Ravi Rai.Picha na Hassan Issa wa – OMPR