Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Amaan kwa ajili ya mchezo wa Kirafiki wa Uzinduzi wa Mradi wa Malaria Zanzibar uliozikutanisha timu mbili za Maveterani Ngezi na Jozani. timu ya Ngezi imeshinda 1--0.
Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Malindi na Taifa ya Zanzibar aliosimama Ali Shariff Adoff na Amour Azizi Kijeba. wakisubi mpambano huo, baada ya kutowa damu kupima Malaria.
Wachezaji wa timu mbili za Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Taifa Stars wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo wao.
Kikosi cha timu ya Jozani Veterani wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Uzinduzi wa Mradi wa Malaria Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan, kikosi hichi kilikubali kufungwa na Maveterani wezao kwa bao 1--0.
Kikosi cha Maveterani cha Ngezi wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Uzinduzi wa Mradi wa Malaria, ilitowa kipigo kwa Maveterani wezao wa Jozani kwa bao 1--0.
Wachezaji wa Veterani wakipasha kabla ya kuaza kwa mchezo wao.