Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Kituo cha Sheria Pemba chaendesha mafunzo ya haki za binaadamu

$
0
0
 
WATENDAJI wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wakiongozwa na Mratibu wao kulia, bibi Fatma Hemed Khamis, wakiwa pamoja na Kamanda mdhamini wa kambi ya Chuo cha mafunzo Kengeja wilaya ya Mkoani, Hafidhi Haji Mcha, mara baada ya kuzungumza na wapiganaji wa kambi hiyo, ambapo ujumbe wa ZLSC ulifika kambini hapo (picha na Haji Nassor, Pemba)


KAIMU Mratibu wa Tume ya Ukimwi Zanzibar ofisi ya Pemba, Ali Mbarouk Omar, akiwasilisha mada ya mswada wa sheria wa kujikinga na kusimamia mambo ya ukimwi, kwenye mafunzo ya haki za binaadamu yaliowashirikisha baadhi ya wanajumuia ya ZAPHA+ na watendaji wa afisi ya makamu wa kwanza, mafunzo yalioandaliwa na kituo cha huduma za sheria ZLSC Pemba (picha na Haji Nassor,Pemba)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>