Mashindano ya Kipwida Cup
MASHINDANO YA KIPWIDA CUP- HATUA YA FAINALI ROBO FAINALI Siku Tarehe Mechi Timu Wakati Kiwanja J’tatu 16/6/2014 1 Walalahoi - 5(P)Vs Njaa Kali - 4(P) 10:00 jioni Maungani J’nne 17/6/2014...
View ArticleTaarifa kwa Vyombo vya Habari
Ndugu Wanahabari, Nina heshima kubwa kukuarifuni kuwa ZIRPP inakusudia kuitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari kuzungumzia dhamira na malengo ya Kongomano kuhusu "Makutano ya Fikra" utakaofanyika siku...
View ArticleWaziri Aboud Afunguwa Warsha ya Utekelezaji wa Mradi Utekelezaji wa miradi ya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa ZanzibarMhe. Mohammed Aboud Mohammed, akifunguwa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa...
View ArticleMchango wa Kijana Mwanaid Saleh Mpaka Sasa umefikia Shilingi 1,134,000
Assalaamu Alaykum. Tunatoa shukrani kwa Wananchi waliojitokeza kumchangia Kijana Mwanaid Saleh, kwa ajili ya matibabu yake Nje ya Nchini Nchini India.Wananchi waliotoa mchango wao kwa njia ya simu...
View ArticleKituo cha Sheria Pemba chaendesha mafunzo ya haki za binaadamu
WATENDAJI wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wakiongozwa na Mratibu wao kulia, bibi Fatma Hemed Khamis, wakiwa pamoja na Kamanda mdhamini wa kambi ya Chuo cha mafunzo Kengeja...
View ArticleBalozi Seif : Serikali itahakikisha inalinda uhuru wa habari
Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameonya kwamba vitengo vya utawala kwenye Taasisi za Habari vimekuwa vikishindwa kuzingatia mambo muhimu wanayopaswa...
View ArticleHotuba ya Balozi Seif kwenye uzinduzi wa kitabu cha historia ya vyomba vya...
HOTUBA YA MGENI RASMI, MH. BALOZI SEIF ALI IDDI MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR KATIKA UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA VYOMBO VYA HABARI VYA ZANZIBAR TANZANIA 18 JUNI, 2014 - ZANZIBAR BEACH...
View ArticleBingwa mtetezi na Makamu wake watupwa nje Kipwida Cup
Kiungo wa maskani ya Miembeni Omar Tamim ‘Omirey’ mwenye jezi ya njano akiwania mpira mbele ya mlinzi wa TRA Moh’d Hassan. Mlinzi wa timu ya TRA Haji Abdi akiokoa mpira uliomtoka mshambuliaji wa...
View ArticleKiwanda cha Sukari kujengwa Pemba
Meneja Mkuu wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha sukari Micheweni Pemba Bwana Satish Purandare akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif azma ya Kampuni yake ya kutaka kujenga...
View ArticleUzinduzi wa kitabu cha Historia ya vyombo vya habari Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Bweach Resort Mbweni nje kidogo ya...
View ArticleZanzibar yajipanga kutokomeza maradhi ya kichocho
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya akifungua Mkutano wa kufanya tathmini mafanikio ya changamoto za mradi wa miaka mitano wa kutokomeza maradhi ya Kichocho Zanzibar (kushoto) Prof....
View ArticleBodi ya Madawa Yaangamiza Vyakula Vilivyopita Muda Wake.
Bidhaa zilizomaliza Muda wake wake wa matumizi zikiwa katika viwanja vya Kikungwi zikiteketezwa na moto na Bodi ya Madawa na Vipodozi ikiteketeza bidhaa hizi Soda za Kopo na Maziwa ya Unga ya Watoto...
View ArticleSiku ya Kichocho ilivyoadhimishwa
Mkuu wa Divishen ya Elimu Zanzibar Maalim. Ahmed Abdul-majid ambae ni Mgeni rasmin siku ya Kichocho Zanzibar, akihutibia wananchi na wanafunzi waliofika katika hafla hiyo huko Skuli ya Mwera Wilaya ya...
View ArticleArticle 5
20/06/2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA WATU WA CHINAMH. LI YUANCHAO ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA YA SIKU MBILI ZANZIBAR TAREHE 25-26/06/2014MAKAMU HUYO WA RAIS ATAPOKELEWA NA...
View ArticleMkurugenzi Masoko PBZ Bi.Viwe Awanasihi Wanafunzi Kuacha Utoro na Kuzingatia...
Mkurugenzi wa Masoko PBZ ltd. Bi Viwe, akiwa na Viongozi wa Zaon na Walimu wa Skuli ya Darajani wakisikiliza Utenzi uliosomwa wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa ZAO kwa Wanafunzi wa Skuli hiyo....
View Articlebalozi Seif Akabidhi Boti kwa Wananchi wa Kivunge
Mashua ya Riziki zina mola iliyonunuliwa na Serikali kulipwa fidia wavuvi wa Kijiji cha kivunge kufuatiwa mashua yao kuchomwa moto katika kisiwa cha Tumbatu.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi...
View ArticleRais Kikwete atoa Mhadhara katika Chuo cha Ulinzi Jijini Dar-es-Salaam leo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika...
View Article