Mkuu wa Divishen ya Elimu Zanzibar Maalim. Ahmed Abdul-majid ambae ni Mgeni rasmin siku ya Kichocho Zanzibar, akihutibia wananchi na wanafunzi waliofika katika hafla hiyo huko Skuli ya Mwera Wilaya ya Kati Unguja ambapo kunasadikiwa kuwa na wingi wa Koa wambukizao Kichocho.
.Wanafunzi wakionyesha picha jinsi ya maambukizi ya Kichocho yanavyopatikana
Sehemu ya wanafunzi waliofika katika sherehe ya siku ya Kichocho inayoadhimishwa kila mwaka hapa Zanzibar
Wanafunzi wakionyesha picha jinsi ya maambukizi ya Kichocho yanavyopatikana.

Sehemu wanaopenda kukaa Konokono wanaoambukiza Kichocho. Mto wa Mwera Wilaya ya Kati Unguja.