Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa Michezo ya Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Watinga Baraza...

 Watoto wenye Ulemavu wa Akili wakiw katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi kutambulishwa kwa Ushindi wao wa Jumla katika Michuano ya Watu Wenye Ulemavu  yaliofanyika katika Viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutoka Baraza la Wawakilishi Wakati wa Kupitisha Bajeti yaWizara ya Habari...

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Said Mbarouk akinakili michango yaWajumbe wa Baraza wakati wa kuchangia Bajeti ya Wizara yake na kuchukua muda mkubwa wa kupitisha Vifungu vya  Matumizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lugha za daladala Kampala

Nimechukua salam kwa ajili ya Blog yetu. Kumbe daladala (taxi) kama waziitavyo hapa haziko nyuma kwa maneno ya alama na kuhamasisha.Nilizoattach hapo ni mfano tu ya nyingiWape wadau

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati za Afya katika Shehia zapatiwa mafunzo ya Afya Jamii

 Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo. Muezeshaji kutoka kitengo cha elimu ya Afya ya jamii Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Amina Sleyum akitoa mafunzo juu ya elimu ya Afya kwa jamii.Washiriki wakifanya...

View Article

JK: Vyama vingi vimepanua wigo wa kisiasa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif ziarani Kisiwa panza kuimarisha chama

  Msafara wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi ukielekea Kisiwa panza kukagua shughuli za Chama ndani ya kisiwa hicho kiliopo kusini mwa Mkoa wa Kusini Pemba.  Balozi Seif akishuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali itahakikisha kituo cha Afya Vikunguni, Wawi , Chakechake kinaanza...

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikamilisha ziara fupi ya kukikagua kituo cha afya cha kijiji cha Vikunguni Wawi chake chake Pemba na kuridhika na hatua iliyofikiwa ya ujenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Bilal azindua mtambo wa majitaka kiwanda cha Serengeti Mwanza

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa Maji taka ya kiwanda cha Serengeti cha Mjini Mwanza kulia Mwenyekiti wa Bodi Nehemiah Mchechu kushoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajumbe wa baraza kuu la CUF katika hafla maalum ya kuagana

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad alizungumza katika hafla maalum ya kuagana na wajumbe wa baraza kuu la uongozi CUF, nyumbani kwa Prof. Lipumba, Kunduchi  Dar es Salaam. Makamu...

View Article


Uchaguzi mkuu CUF ni kesho

Na: Hassan Hamad, OMKRWakati Chama Cha Wananchi CUF kikiingia katika uchaguzi Mkuu Taifa kuanzia kesho tarehe 23/06/2014, Viongozi wakuu wa Chama hicho wamewataka wajumbe watakaokosa nafasi za uongozi...

View Article

Balozi Seif azuia ujenzi wa aina yoyote Masoko Makongwe, Selem, Wete Pemba

Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Seif Ali Iddi ameonya kuzuiwa kufanywa kwa ujenzi wa aina wowote katika eneo la Masoko makongwe liliopo Mtaa wa Selemu ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Balozi Seif Pemba katika Picha

 MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Idd, akimkadhi hundi ya shilingi Milioni 2,500,000, kiongozi wa kikundi cha Tudumishe amani Cha Makangale, mara baada ya kuzinduwa rasmi mfuko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na wageni kutoka Oman, China

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China baada ya kukutana naye  Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wa Kijiji cha Pale Wakiangalia Majina yao katika Daftari la Wapiga...

 Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakiangalia majina yao katika Kituo cha Skuli ya Pale Mkokotoni Unguja, Kuwataka Wananchi wa Jimbo la Tumbatu kuangalia majina yao kama yako sawa na kuweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Boda to Boda Mambo Safi kwa Wananchi wa Vijiji kusafirisha Mazao yao.

Kuimarika kwa Miundombinu ya Barabara yamewarahisisha Wananchi wa Vijiji kwa kusafirisha mazo ya kwa njia ya salama na kwa haraka, kama inavyoonekana barabara hii kutoka Wilaya ya Kati Unguja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB Yakabidhi Pikipiki kwa Ajili ya Jeshi la Polisi Arusha.

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas, akikata utepe kuashirika kuzizindua Pikipiki zilizotolewa kwa Ajili ya Matumizi ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha na Benki...

View Article

Mwelekeo wa hali ya joto na mvua Juni - Agosti 2014

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MWELEKEO WA HALI YA JOTO NA MVUA KATIKA KIPINDI CHA  JUNI HADI AGOSTI 2014Taarifa hii inatoa mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa, joto na mvua katika kipindi cha miezi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais wa China Awasili Dar na Kupokelewa na Makamu wa Rais Dkt Bilal.

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimlaki Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam kwa ajli ya ziara ya siku sita nchini.Yuanchao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

The People Bank of Zanzibar Launches a New Online Remittance Service (MOBILE)!

The people's Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd) which is one among the oldest commercial banks in Tanzania and the only indigenous bank in Zanzibar wholly owned by the people of Zanzibar has today...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) na Jitihada za Kupambana na...

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza zoezi la kuwashirikisha walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini kuibua miradi ya Ujenzi PWP ambayo kwa mujibu wa taratibu walengwa watatumia fursa ya...

View Article
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>