Jahazi lazama, mmoja afariki
Na Khamisuu AbdallahMTU mmoja amefariki dunia baada ya jahazi lenye namba za usajili 111 walilokuwa wakisafiria kuzama karibu na bahari ya kisiwa cha Chumbe.Jahazi hilo lililokuwa likitokea Zanzibar...
View ArticleMali kachara kudhibitiwa
Na Mwanajuma MmangaIDARA ya mazingira Zanzibar ipo mbioni kuandaa sheria ya kuwadhibiti wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa chakavu kutoka nje.Sheria hiyo inakuja baada ya kuonekana Zanzibarkuwa jaa la...
View ArticleISLANDS Project/INDIAN OCEAN COMMISSION donated 1,200 comic books
ISLANDS Project/INDIAN OCEAN COMMISSION donated 1,200 comic books titled "The Great Trips of Dilan in the Indian Ocean", 250 Teachers' guide books and 700 DVDs on Education for Sustainable Development...
View ArticleMkutano Mkuu wa sita wa CUF waanza
Na: Hassan Hamad (OMKR).Mkutano Mkuu wa sita wa CUF umeanza rasmi huku ukihudhuriwa na viongozi na wawakilishi wa vyama vya siasa na jumuiya kadhaa za Kimataifa. Akifungua mkutano huo unaofanyika...
View ArticleMkutano Mkuu w CUF
Viongozi wakuu wa CUF katika picha ya pamoja na wawakilishi na viongozi wa vyama vya siasa Ubungo Plaza Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Lipumba, katika mkutano Mkuu wa Chama hicho Ubungo...
View ArticleShirika la Huduma za afya la Marekani laonesha filamu katika Tamasha la Ziff
Wananchi na waandaaji wa Filamu ya tohara kwa wanaume iliyotengenezwa na Lisa Russeli wakiangalia filamu hiyo katika Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree. Wananchi na waandaaji wa filamu ya Tohara kwa...
View ArticleTani 25 bidhaa mbovu zaangamizwa
Na Fatma Kassim, MaelezoBODI ya Chakula Dawa na Vipodozi, imeangamiza bidhaa chakula zenye uzito wa tani 25 baada ya kubainika kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu.Bidhaa hizo ni pamoja na maziwa ya...
View ArticleWaziri Zainab Awataka Watendaji wa Wizara yake kutumia Lugha Nzuri Wanapotowa...
Na Madina IssaWAZIRI wa Ustawi wa Jamii, Vijana, Maendeleo na Watoto Zanzibar, Mhe. Zainab Mohammed Omar, amewataka wafanyakazi wa wizara yake kutumia lugha nzuri wakati wanapotoa huduma kwa...
View ArticleSMZ kufanya utafiti wa mifugo
Na Husna Mohammed WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdillah Jihad Hassan, amesema serikali inakusudia kuimarisha shughuli za utafiti katika masuala ya mifugo sambamba na kutoa elimu kwa wafugaji.Alisema...
View Article‘Viongozi majungu wasipewe nafasi CCM’
Na Masanja Mabula,PembaNAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Mhe.Vuai Ali Vuai, amewataka wanaCCM kutowafumbia macho viongozi wanaokwenda kinyume na matakwa ya chama.Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza...
View ArticlePinda:Tutawabaini wanaoshambulia viongozi wa dini
Na Fatina Mathias, DodomaWAZIRI Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda, amesema serikali kwa kushirikiana vyombo vya usalama vya nje, itahakikisha inawabaini watu wanaowashambulia viongozi wa dini na watalii mjini...
View ArticleMume wa mwanamke anaedaiwa kuua mfanyakazi wa ndani aronga
Na Joseph Ngilisho,ArushaSAKATA la msichana wa ndani mwenye umri wa miaka 16,aliyedaiwa kuuliwa na mama mwenye nyumba, aliyetajwa kwa jina la Valentina Maxmillan (37) mkazi wa en Moromboo jijini...
View ArticleMapete apigwa ‘stop’ kujimilikisha eneo la soko Wete
Na Abdi Suleiman, PembaMAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amewataka wafanyabiashara katika soko la Wete kuendelea na biashara zao, licha ya mfanyabiashara mmoja maarufu, Ahemd...
View Article‘SMZ yajidhatiti kusaidia wananchi’
Na Mwantanga Ame,PembaMFUKO wa uwezeshaji wananchi kiuchumi, ni fursa mpya inayolenga kuyasaidia makundi ya wananchi wa kipato cha chini,Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi, amesema.Aliyasema...
View ArticleHarakati Marikiti ya Mkokotoni Unguja
Wananchi wakiwa katika harakati za hapa na pale katika marikiti kuu ya Mkokotoni Unguja Wiala ya Kaskazini A, Marikiti hii hutowa huduma kwa wananchi wa Kijiji hicho na kisiwa cha Tumbatu. kupata...
View ArticleHotuba ya Waziri Mhe Fatma Ferej
HOTUBA MAALUM YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA KWANZAWA RAIS MHE. FATMA ABDULHABIB FEREJ YA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UPIGAJI VITA MATUMIZI NA USAFIRISHAJI WA DAWA HARAMU ZA KULEVYA...
View ArticleVacancy Annoucement: Creative Director
Employment Opportunity: Creative DirectorOur client is a leading advertising agency in Tanzania with portfolio consisting major corporations operating in Tanzania. Our client manages advertising and...
View Article