Keki maalum walioandaliwa Watoto Yatima wa Kijiji cha SOS na wa Nyumba ya Serekali ya Watoto Yatima Mazizini kusherehekea miaka 48 ya Benki ya Watu wa Zanzubar tangu kuazishwa kwake mwaka 1966 Zanzibar.
Wafanyakazi wa PBZ wakiwa katika futari waliowaandaliwa watotoyatima wa nyumba ya watoto yatima mazizini na wa Kijiji cha SOS Mombasa ikiwa na kuadhimisha miaka 48 ya Benki ya Watu wa Zanzibar tangu kuazishwa kwake mwaka 1966 Zanzibar.
Vijana tuleni futari imeandaliwa kwa ajili yenu hii.Mambo ya Futari na Watoto Yatima Zanzibar. kuadhimisha miaka 48 ya PBZ.
Watoto wetu tuleni ndivyo inavyoonekana Wafanyakazi wa PBZ wakizungumza na Watoto Yatima wa Nyumba ya Mazizini na SOS wakati wa futari ilioandaliwa kwa ajili yao na PBZ.
Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bi Viwe akijumuika na Watoto wa Kijiji cha SOS katika futari ilioandaliwa na PBZ kwa Watoto hao ikiwa ni kutimiza miaka 48 ya PBZ, hafla hiyoimefanyika katika Nyumba ya Watoto yatima Mazizini Zanzibar.
Watoto wa Nyumba za Watoto Yatima za SOS na Nyumba ya Watoto Yatima ya Serekali ya Mazizini, wakijumuika na Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar katika futari ilioandaliwa na PBZ kwa ajli ya Watoto hao katika makazi yao Mazizini Zanzibar.
Watoto wa Kijiji cha SOS na Wa Nyumba ya Watoto YatimaMazizini wakikata keki na kulisha kuadhimisha kutimia miaka 48 ya PBZ tangu kuazishwa wakifurahia na wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar baada kupata futari iliandaliwa kwa ajili yaWatoto.iliofanyika katika Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar.
Mfanyakazi wa PBZ akimlisha keki mmoja wa Watoto Yatima wakati wa kujumuika na Wafanyakazi wa PBZ katika futari walioandaliwa Watoto hao ili kujumuika kuadhimisha miaka 48 ya PBZ., katikati anayefurahia ni Mkurugezi Masoko wa PBZ Bi. Viwe akijumuika na Watoto hao katika makazi yao Mazizini Unguja.