ZECO yailipa TANESCO 500m/- kila mwezi
Na Mwandishi wetuKATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati, Eliakim Maswi, amekanusha tuhuma za Shirika la Umeme (TANESCO) kwamba linaidai Zanzibarkiasi cha shilingi bilioni 47 kutokana na matumizi ya...
View ArticleHarakati katika Soko la Mwanakwerekwe Mwezi wa Ramadhani leo.
Wananchi wa Mji wa Zanzibar wakiwa katika harakati za mahitaji ya manunuzi ya Futari katika Soko Kuu la Mwanakwerekwe Ubguja. Bei za bidhaa katika soko hilo zilikuwa juu katika siku ya leo nazi moja...
View ArticleWafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Wajumuika katika Futari na Watoto wa...
Keki maalum walioandaliwa Watoto Yatima wa Kijiji cha SOS na wa Nyumba ya Serekali ya Watoto Yatima Mazizini kusherehekea miaka 48 ya Benki ya Watu wa Zanzubar tangu kuazishwa kwake mwaka 1966...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba afungua mafunzo ya siku 10 kwa wawezeshaji
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba,Mhe: Juma Kassim Tindwa, akifungua mafunzo ya siku 10 kwa wawezeshaji kuhusiana na kaya masikini kisiwani Pemba, huko katika ukumbi wa TASSAF Chake Chake Pemba(Picha na...
View ArticleViongozi wa jimbo la Gando wakabidhi boti
MBUNGE wa Jimbo la Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe:Khalifa Suleiman akimkabidhi boti aina ya Faiba, mmoja wa wananchi wa Fundo, ambae jina lake halikupatikana, boti hiyo iliyotolewa...
View ArticleKamanda wa wa Polisi Mkoa wa Arusha Akipokea Taarifa kutoka kwa Meneja wa...
Meneja wa NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akimkabidhi ripoti ya wanahisa kamanda wa polisi mkoani Arusha Liberatus Sabas katika hafla ya kukabidhi pikipiki kwa jeshi hilo ofisini kwa kamanda sabas...
View ArticleMaalim Seif Azungumza na Kituo cha ITV Dar-es-Salaam.
Na Hassan Hamad, OMKR Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ameonya kuwa vitendo vya hujuma dhidi ya raia na wageni, vinaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa...
View ArticleUzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)
Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Jamii Zanzibar Ndg. Mussa Yussuf akitowa utaratibu wa hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Sita ya ZSSF, iliozinduliwa na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Oar Yussuf Mzee. Waziri...
View ArticleArticle 4
MAKUTANO YA FIKRA JUU YA RASIMU YA KATIBAKama mjuavyo, mchakato wa kupata katiba mpya umekwama katika Bunge Maalum la Katiba kutokana na kushindwa kupatikana kwa theluthi mbili ya wabunge kutoka...
View ArticleMashindano ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30
Mwanafunzi Salha Faki Khatib (17) akishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur an juzuu 30 yalioandaliwa na Jumuiya ya kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika ukumbi wa Skuli ya Haele Salasei na...
View ArticleAliedaiwa kumpa ujauzito mtoto wa mkewe aachiwa huru
Asya Hassan na Khamis AmaniMahakama ya Mkoa Mwera, imemuachia huru mshitakiwa,Nasu Kassim Chande (30) mkaazi wa Muyuni ‘C’ wilaya ya kusini Unguja, alieshitakiwa kwa kosa la kumuingilia mtoto wa mkewe,...
View ArticleBiashara ya dagaa yasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira
Hakuna huduma za maji, wananchi wajisaidia fukweniNa Mwandishi wetuUharibifu mkubwa wa mazingira umezikumba fukwe zote ambazo zinafanywa biashara ya upikaji na uanikija dagaa hasa maeneo ya kaskazini...
View ArticleMihangaiko ya ununuzi wa futari Pemba
BAADHI ya wafanya Biashara ya ndizi za aina mbali mbali, wakiwa katika mnada wa ndizi ndani ya soko kongwe la chake chake, ambapo bei ya bidhaa hizo katika mwezi huu wa Ramadhani zimepanda bei...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt.Bilal Aiwakilisha Tanzania kwenye Maadhimisho ya Miaka 52...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA SIKU YA UHURU WA BURUNDIJulai 01, 2014 BujumburaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View Article‘Imani potofu yadhoofisha uzazi wa mpango’
Na Khamis MohammedUELEWA mdogo wa wanajamii pamoja na imani potofu walionayo baadhi ya watu kuhusu dhana nzima ya uzazi wa mpango, imeelezwa kuwa ni changamoto kubwa inayopelekea wanawake wengi...
View ArticleDk. Mwinyi:Tutawasilisha mswada bungeni kudai maslahi ya Z’bar
Na Hafsa GoloMBUNGE wa jimbo la Kwahani, Dk. Hussein Mwinyi, amesema Zanzibarinakusudia kupeleka mswada bungeni kudai maslai yake kamamjadala kuhusu katiba mpya utashindikana kuendelea.Awamu ya pili ya...
View ArticleHatua ya Umaliziaji Ujenzi wa Barabara ya Daraja Bovu Zenj Yakamilika
Wananchi wa barabara ya daraja bovu wakiwa memevunja nyumba zao baada kukamilika kwa taratibu zote za kisheria ili kuendelea na ujenzi wa barabara hiyo awamu ya mwisho ya ujenzi wake ili kukamilisha...
View Article