MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Ndg. Jecha Salim Jecha akifungua mafunzo ya siku tano ya Jinsia na Uchaguzi, kulia Mkurugenzi wa Tume hiyo, ndg. Salum Kassim Ali na kushoto Msaidizi Mkuu wa Kitengo cha kusimamia Demokrasia na Uchaguzi Umoja wa Afrika (AU), ndg. Shumbana Amani Karume. Mafunzo hayo yameandaliwa na ZEC na kudhaminiwa na AU yanafanyika katika Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanzibar
MKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) , Salum Kassim Ali akitoa maelezo katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya Jinsia na Uchaguzi. Mafunzo hayo yameandaliwa na ZEC kwa udhamini wa Umoja wa Afrika (AU) yanafanyika katika Hoteli ya Serena Inn Mjini Zanzibar
Washiriki wa mafunzo ya Jinsia nacUchaguzi wakimsikiliza muwezeshaji akitowa Mada katika mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena Zanzibar.
MSAIDIZI Mkuu wa Kitengo cha Kusimamia Demokrasia na Uchaguzi katika Umoja wa Afrika (AU) Ndg. Shumbana Amani Karume akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tano juu ya Jinsia na Uchaguzi yanayofanyika katika Hoteli ya Serena Inn mjini Zanzibar.Mafunzo hayo yameandaliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kudhaminiwa na AU.

Maofisa wa Umoja wa Afrika (AU) Wakifuatilia Mafunzo hayo katika ukumbi wa Mkutano hoteli yaSerena Inn Zanzibar
Afisa Uhusiana wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bi Salh wa kwanza mwenye baibui akifuatilia mafunzo hayo akiwa na waandishi wa habari katika ukumbi wa mafunzo hayo hoteli ya Serena Zanzibar.
Washiriki wa mafunzo ya siku tano ya Jinsia na Uchaguzi wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Umoja wa Afrika na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein)