Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 uliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I - III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana ni 26,825.
Watahiniwa waliopata daraja la IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54. Watahiniwa sifuri (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Oswald Mang'ombe

Kwa matokeo zaidi ya kila Skuli ingia katika link ifuatayo: www.necta.go.tz