Majambazi yamvamia mfanya baishara ya kuku
Na Haji Nassor, PembaMfanyabiashara wa kuku katika soko kuu mjini Chake Chake Pemba, Amour Mohamed Salim (40) (Cheupe), amevamiwa na majambazi kumpiga kwa vitu vizito usiku wa kuamjia jana.Alisema...
View ArticleMuuza nyama amuua mkewe kwa wivu
Na Joseph Ngilisho,ArushaMUUZA nyama ,Lucas Lomayany Molel (37) mkazi wa Ilboru,jijini hapa,anatafutwa na polisi kwa kosa la kumuua mkewe wa ndoa,Agness Lucas (24) kwa kumkata mapanga, kwa kile...
View ArticleKongamano la Kujadili Madini Mafuta na Gesi Lazinduliwa Jijini Arusha leo.
Baadhi ya washiri wa kongamano la Global Academy for Oil and Gas akibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa kongamano hilo.Mtendaji wa Tmaa Giley shumika akiwa na mratibu wa kongamano hilo kutoka nchini...
View ArticleVipaumbele vya Dismas Lyassa Mgombea Urais TUCTA
Taarifa kwa vyombo vya habariImetolewa leo tarehe 16 Julai 2014Na Dismas LyassaMgombea Urais wa TUCTA; Shirikisho la Vyama vya WafanyakaziSalaamWapendwa ndugu zangu wana habari…Asalam Aleikum…Tumsifu...
View ArticleLioombeeni taifa amani, viongozi wa dini waaswa
Na Kadama Malunde,ShinyangaWaziri Mkuu,Mizengo Pinda, amewataka viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na serikali na kuliombea taifa kutokana na kuanza kuibuka matukio ya ugaidi ambayo yanatishia...
View ArticleMtuhumiwa tindi kali anaswa · Adaiwa kumwagia tindi kali Sheha Tomondo
Na Mwandishi wetuMakachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa washukiwa wa matukio ya tindikali visiwani hapa, alietajwa kwa jina la Alawi Mohammed Silima (25) mkazi wa...
View ArticleNEC yatahadharishwa
Na Masanja Mabula,PembaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetakiwa kuwaandalia mazingira mazuri Masheha ili kuzuia kuingiliwa na wanasiasa wakati za zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga...
View Article‘Watoto 11,216 wanaishi bila ya uangalizi wa wazazi’
Na Hassan Hamad,OMKRWATOTO milioni 153 wanaishi bila ya uangalizi wa wazazi duniani kote, huku Tanzania ikiwa na watoto wa aina hiyo wapatao 11,216.Hayo yameelezwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa...
View ArticleKongamano la diaspora Agosti
Na Mwandishi wetuWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema rasimu ya sera ya diaspora iko kwenye hatua za mwisho na muda si mrefu itaingizwa kwenye utaratibu wa kiserikali ili hatimaye iweze kuwasilishwa...
View ArticleMwinyi awataka Waislamu kuungana
Na Fatuma Kitima,Dar es SalaamRAIS Mstaafu wa awamu ya pili,Ali Hassan Mwinyi, amejumuika pamoja na baadhi ya viongozi kwenye futari iliyoandaliwa na Mwenyekiti Taifa wa JUWAQUTA,Shekh Alhad Mussa...
View ArticleRais Kikwete Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM,
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ikulu )
View ArticleKatibu Mkuu Kiongozi Akutana na Ujumbe kutoka Chuo cha St.Thomas cha Marekani
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na ujumbe kutoka Chuo cha St. Thomas cha Marekani uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 16, 2014Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y....
View ArticleMatokeo ya Mtihani wa taifa kidato cha sita
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 uliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I - III. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na...
View ArticleMafunzo ya siku mbili kwa wasaidizi wa Sheria Pemba
MRAJISI wa mahakama Pemba, ambae pia ni Hakimu wa mahakama ya mkoa Chakechake, Haji Omar Haji akifungua mafunzo wa siku mbili kwa wasaidizi wa sheria wa majimbo ya Pemba, juu ya sheria za ardhi,...
View ArticleZanzibar hoi kidato cha sita
Na Andrew Chale WAKATI watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya waliofanya mtihani wa kidato cha sita 2014 wakifaulu, Zanzibar imeangukia pua kwa kutoingiza shule hata moja kumi bora, badala yake...
View ArticleSheikh ashambuliwa kwa bomu Arusha
Na Joseph Ngilisho,ArushaSIKU chache baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Shabaan bin Simba, kutangaza uongozi mpya wa msikiti wa Ijumaa na msikiti wa Quba iliyopo jijinihapa,Sheikh wa msikiti wa...
View Article6.189 b/- kutengeneza barabara Unguja,Pemba
Na Salum Vuai, MaelezoSHILINGI bilioni 6.189, zitatumika kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo barabara mbali mbali Unguja na Pemba.Taarifa kutoka Mfuko wa Barabara zimefafanua kuwa shilingi bilioni...
View ArticleRais Kikwete Aandaa Futari kwa Viongozi wa Dini ya Kiislam Ikulu Dar -es-Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni Ikulu Dar. Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleWashtakiwa kesi ya mauaji ya watu 229 huru · Ni ya Mv. Spice Islander
Na Khamis AmaniMahakama Kuu Zanzibar,imewaachia huru washtakiwa 12 waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya ya mauaji ya bila kukusudia ya watu 229, katika ajali ya meli ya Mv Spice Islanders 1.Miongoni mwa...
View Article