Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35791

Viongozi wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar wazungumza na Waandishi.

$
0
0
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai katikati akizungumza na Wanahabari kuhusu kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi itakayofanyika Agosti 30-31 mwaka huu huko Mpendae mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai katikati akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi itakayofanyika Agosti 30-31 mwaka huu Mpendae mjini Zanzibar.
Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Zubeir kushoto akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi itakayofanyika Agosti 30-31 mwaka huu huko Mpendae mjini Zanzibar.(Picha na Makame Msenga -Maelezo)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35791

Trending Articles