Bunge la katiba lakerwa taarifa za wajumbe kutolipwa posho
Na Benedict Liwenga, Maelezo, DodomaOfisi ya Bunge Maalum la Katiba, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za wajumbe wa bunge...
View ArticleInnaa Lillaahi Wainnaa ilayhi Raajiuun :Mazishi ya Aliyekuwa Mwandishi wa...
Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua baada ya kuusalia mwili wa marehemu Juma Masoud, aliefarikin jana hafla, mazishi hayo yamefanyika Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati Unguja na...
View ArticleMchezo wa Kirafiki Simba na Mafunzo Amaan. Simba imeshinda 2--0
Mshambulioaji wa timu ya Mafunzo akijiandaa kuzuiya mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Simba imeshinda 2--0. dhidi ya mafunzo.Mbambuliaji wa timu ya mafunzo...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba afanyiwa tafrija ya kuagwa na wafanyakazi wa...
MKUU mpya wa Mkoa wa kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akipokea zawadi kutoka kwa waliokuwa wafanyakazi wake wa Wilaya yaChake Chake, kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa kusini Pemba,...
View ArticleJK:Nipo tayari kukutana na UKAWA
Na Mwandishi wetuRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amesema yeye hana tatizo kukutana na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). “Wanajua...
View ArticleMtoto wa miaka 9 abakwa, auawa
Na Kadama Malunde, ShinyangaMATUKIO ya ukatili dhidi ya watoto yameendelea kujitokeza mkoani Shinyanga ambapo mtoto wa miaka 9 ambae ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika skuli ya msingi Negezi...
View ArticleZAECA yamnasa trafiki kwa rushwa
Na Hafsa GoloMALAKA ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) imemtia mbaroni askari wa usalama barabarani, Koplo Ramadhan Sheha akishawishi na kupokea rushwa ya shilingi 10,000 kutoka kwa...
View ArticleMambo ya Zenj ya Urojoo hoooooo............
Mambo ya hapa na pale Zenj kujipatia mbatata za urojo hizooooooooo
View ArticleUsalama Barabarani Zenj
Mwalimu wa skuli ya maandalizi Sebleni akisimamisha magari ili kutowa nafasi kwa wanafunzin kuvuka barabarac maeneo ya sebleni barabara ya amaan, Watoto wanahitaji uangalifu wakati wa kutumia barabara...
View ArticleSaba mbaroni kwa mauaji ya wanawake Arusha
Na Joseph Ngilisho, ArushaJESHI la Polisi Mkoani hapa linawashililiwa watu saba,wanaotuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha n'a kuwapiga risasi wanawake.Akizungumza...
View ArticleJambazi auawa, achomwa moto
Na Joseph Ngilisho, ArushaJAMBAZI sugu anayetumia ushirikiana katika kufanikisha matukio ya uhalifu mkoani hapa, ameuawa kwa kuteketezwa kwa moto na wananchi wenye hasira kali huku hirizi tatu...
View ArticleRais Kikwete katika sherehe za Uzinduzi wa Programu ya Uimarishaji wa Mipaka...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na...
View ArticleUongozi wa Kampuni ya TIGO wakutana na Balozi Seif
Na.Othman Khamis AmeKampuni ya Mitandao ya simu za Mkononi ya Tigo imejitolea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye sekta ya uwekezaji katika masuala ya mitandao ya mawasiliano...
View ArticleBalozi Seif azungumza na Rais wa Kampuni ya simu ya TIGO
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Tigo yenye makao Makuu yake Nchini Sweeden Bwana Arthur Basting akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Jengo la Msekwa ndani...
View ArticleZ-NCDA Kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Kansa Zanzibar
Na Faki Mjaka Maelezo.Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) inatarajia kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi Agosti 30-31 mwaka huu.Uzinduzi huo...
View ArticleViongozi wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar wazungumza na Waandishi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai katikati akizungumza na Wanahabari kuhusu kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi...
View ArticleMchezo wa mwisho Michezo ya Majeshi Kati ya Rwanda na Burundi Zenj.
Mchezaji wa timu ya Basketyi ya Burundi akiwa na mpira wakati swa mchezo wao wa kukamilisha ratiba ya Michezo ya 8 ya Majeshi wa Afrika mashariki yanayofanyika Zanzibar. timu ya Burundi imeshinda 60--52.
View ArticleWizara ya Afya Yakabidhi Kifaa cha Kuchunguza EBOLA uwanja wa ndege Zanzibar.
Na Faki Mjaka Maelezo.Wizara ya Afya Zanzibar imekabidhi kifaa cha THERMAL SCANNER kwa ajili ya kuchunguza Wagonjwa wa EBOLA watakao ingia nchini kutoka mataifa mengine.Kifaa hicho kilichowekwa katika...
View ArticleMchezo wa Netiboli kati ya Burundi na Rwanda uwanja wa JKU Saateni
Wachezaji wa timu ya Burundi na Rwanda wakiwania mpira katika mchezo wao wa mwisho ya michezo ya majeshi yanayotarajiwa kufikia tamati keshokutwa 31-8-2014, katika uwanja wa Amaan Zanzibar.timu ya...
View Article