Washiriki wa mjadala kuhusu Islamic Banking ulioandaliwa na Radio Iman, kutoka kulia na Dk Mohammed Hafidh Khalfan , Mwenyekiti wa Shariah Board ya PBZ, Muhammad Matano wa TV Iman, Ustaadh Ahmad Haydar, Nadir Mahfoudh, Profesa Monzer Kahf, Arif Nahd , mmiliki wa Radio na Tv Iman.