Sheria Kutii bila Shuruti
Asakari wa Usalama barabarani akitowa maelekezo kwa dereva wa daladala akiwa amesimamisha gari yake eneo lisiloruhusiwa kusimama na kuchukua abiria katika eneo la michezani jirani na CCM
View ArticleMahakama Kuu yampa nafasi ya mwisho DPP Akishindwa kukamilisha ushahidi kesi...
Na Khamis AmaniIKIWA ni mwaka mmoja, miezi minne na siku 19 zimepita, tokea kuuawa kwa Padri Evaristus Gabriel Mushi na upelelezi wake ukiwa bado haujakamilika, Mahakama Kuu ya Zanzibar imetoa muda wa...
View ArticleSerikali yawasilisha pingamizi la kesi ya Bunge la Katiba
Upande wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.Naibu...
View ArticleMchezo wa Kirafiki Kati ya Idumu ya Unguja Ukuu na Mtende Rangers
Mshambuliaji wa timu ya Mtende Rangers aki mpita beki wa timu ya Idumu, katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Mao, Timu ya Idumu imepanda daraja Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni mchezo wake wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5,...
View ArticleWafanyabiashara Kando ya Barabara Wastopishwa Darajani
Eneo la kisiwandui jirani na benki ya Barclays kisiwandui likiwa katika hali ya uwazi baada ya kutolewa taarifa kutofanya biashara kando ya barabara katika mji na maeneo ya uwazi mjini.ili kuweka...
View ArticleMadiwani CUF wakwamishwa mkutano Tanga
Na Amina Omari,TangaMadiwani wa CUF wilayani Tanga, wamesababisha kuahirishwa kwa muda wa zaidi ya saa tatu kikao cha kamati ya fedha na uchumi wakipinga mjumbe mwengine, Mohamed Mambea, kushiriki...
View ArticleRais Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani,jijini Nairobi leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete...
View ArticleTujikumbushe Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan kati ya KmKm na...
Mama Fatma Karume akisalimiana na Kocha Mkuu wa Klabu ya Dar Young Africa Macximo wakati wa michezo yake ya majaribio iliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar, timu hiyio ilikuwa ikicheza na Timu...
View ArticleSMZ yapinga kuwepo kwa ubaguzi katika kutowa miche ya Mikarafuu kwa Wakulima
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar.Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema haina Ubaguzi wa aina yoyote katika kugawa Miche ya Mikarafuu badala yake inaangalia namna ambavyo Mkulima katayarisha mashamba...
View ArticleCCM yafanya uhamisho Makatibu wa Mikoa
Na Mwandishi wetuKATIBU wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda, amekumbwa na fyagio katika uhamisho wa Makatibu wa Mikoa uliofanywa na chama hicho.Chatanda ambae alituhumiwa na Umoja wa Vijana wa CCM wa...
View ArticleDk Shein awasili nchini akitokea visiwa vya Samoa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume akitoa...
View ArticleKatibu Mkuu CUF anguruma Mwanza
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni KAtibu Mkuu wa CUF akiwasili mjini Mwanza.Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza...
View Articlemafunzo ya kuandika habari za mafuta, gesi na madini yafanyika Dar
AFISA kutoka baraza usimamizi wa mazingira Tanzania bara, NEMC mwalimu Carlos Mbuta, akitoa mada juu ya kazi zinazofanywa na NEMC, kabla na baada ya uchimbaji wa gesi, mafuta na madini, kwenye...
View ArticleWaislamu Zanzibar wahimizwa kutoa Zaka
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zaka na Sadaka Zanzibar (JUZASA) Shekh Said Suleiman Masoud Mwenyekoti Jeusi akitoa nasaha zake kwa Wanachama na Waalikwa katika Mkutano wa Jumuiya hiyo uliofanyika Ukumbi wa...
View ArticleMichuano ya Kombe la Bima Zanzibar kati ya Shangani na Sico Uwanja wa Mao.
Mchezaji wa timu ya Shangani mwe nye mpira akiwapita walinzi wa timu ya Sico katika mchezo wa Kombe la Bima uliofanyika uwanja wa Mao, Timu ya Shangani imeshinda 3--2.Mshambuliaji wa timu ya Shangani...
View ArticleHajj - Tubadilishe utamaduni
Abu Ammaar ‘Ibadah ya Hajj – nguzo ya tano katika nguzo za kiislam imekuwa adimu kutekelezwa na miongoni mwa jamii ya waislamu waswahili hasa waliopo katika nchi za kimagharibi. Tumebahatika kuwaona...
View ArticleMjadala kuhusu Islamic Banking ulioandaliwa na TV Iman
Washiriki wa mjadala kuhusu Islamic Banking ulioandaliwa na Radio Iman, kutoka kulia na Dk Mohammed Hafidh Khalfan , Mwenyekiti wa Shariah Board ya PBZ, Muhammad Matano wa TV Iman, Ustaadh Ahmad...
View Article