Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nape azungumzia wajibu wa matawi ya CCM yaliopo nje ya nchi

 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama...

View Article


Vitambulisho 13,698 ZanID ‘vyaozea’ ofisini Wenyewe washindwa kuvichukua...

Na Masanja Mabula,PembaVitambulisho 13,698 vya Mzanzibari Mkaazi kutoka wilaya nne za Pemba, vimerejeshwa ofisi kuu Unguja, baada ya kumaliza muda wake wa matumizi vikiwa katika ofisi za Pemba  bila ya...

View Article


ZEC yakamilisha awamu ya kwanza uchunguzi wa majimbo

Na Khamis MohammedTUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imekamilisha awamu ya kwanza ya kazi ya uchunguzi wa idadi, majina na mipaka ya  majimbo ya uchaguzi Zanzibar baada ya kupokea maoni mbali mbali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katuni na Ujumbe wake huooo leo.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazetini leo Tz Bongo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kombe la Bima Black Sailors na Taifa ya Jangombe Uwanja wa Mao.

Wachezaji wa timu ya Black Sailors wakifuatilia mchezo wao na timu ya Taifa ya Jangombe kuwania Kombe la Bima Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao.Mchezaji wa timu ya Black Sakimpita beki wa timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waandishi Wakiwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar Kutafuta ukweli

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakiwa katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar Mazizini kufuatilia habari kuhusu Mwanasheria Mkuu kupata ukweli wa habari iliozagaa kuachia...

View Article

Duni aahidi mageuzi uwanja wa ndege Z’bar

Na Mwashamba JumaWaziri wa Miundombinu na Mawasiliano, Mhe. Juma Duni Haji, ameahidi kuzifanyia kazi changamoto muhimu zinazoukabili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar.Alisema uwanja huo umekuwa...

View Article


Mama Asha ahimiza maskini kusaidiwa

Na Mwantanga AmeMKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,mama Asha Suleiman Iddi, amewataka wananchi kuwasaidia watu wenye hali duni ili kuwawezesha kukabiliana na maisha yao.Aliyasema hayo jana...

View Article


Maslahi ya wanajeshi kuimarishwa

Na Joseph Ngilisho, ArushaRAIS Jakaya Kikwete,amesema serikali imepiga hatua katika kuboresha zana za ulinzi za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na itaendelea kutenga fedha zaidi ili liweze kuwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maziko ya Spika Mstaafu wa Pili wa Baraza la Wawakilishi, Marehemu Ali Khamis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete ahitimisha mazungumzo yake na Ujumbe wa kituo cha Demokrasia ,...

 Rais Jakaya Mrisho alipowasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo September 8, 2014ili kuonana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD)  Rais Jakaya Mrisho akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo...

View Article

Dk Shein aungana na wananchi katika maziko ya aliyekuwa Spika mstaafu wa BLW

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                                                       04 Septemba , 2014RAIS wa Zanzibar na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif: Migogoro inayowakumba wakulima na wafugaji ni kwasababu ya...

 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha Kirumba, mjini Mwanza. Sehemu ya umati uliohudhuria kwenye Mkutano wa hadhara wakimsikiliza katibu...

View Article

Asilimia 27 ya watoto wanatumikishwa’

Na Anna Nkinda,MaelezoTAKWIMU zinaonesha idadi ya watoto wanaotumikishwa duniani inafikia milioni 169 kati ya hao wapo wenye umri wa miaka mitano, wanaotoka katika familia maskini ambao  hulazimika...

View Article


Dk. Kigwangala kumvaa Pinda mbio za urais 2015

Na Mwandishi wetuMbunge wa Nzega, Dk. Hamisi Kigwangalla, ametangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu ujao.Kigwangalla anaungana na makada...

View Article

OT yatoa sarafu ya sh.500

Na Mwandishi wetuBenki Kuu ya Tanzania (BOT) imetoa sarafu ya shilingi 500, ambayo itaanza kuingia kwenye mzunguko mwezi Oktoba mwaka huu.Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu, Emmanuel Boaz,...

View Article


Waziri Kheri awaasa JKU kuwa wamoja

Na Aumbe RashidWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum ya SMZ, Haji Omar Kheri, amewataka maofisa wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kuwa na umoja,upendo na ushirikiano  na...

View Article

Askofu Kakobe apinga katiba mpya

Na Mwandishi wetuAskofu Mkuu wa Kanisla la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe, amesema kinachoendelea katika Bunge Maalum la Katiba ni sawa na mchwa wanaotafuna fedha za Watanzania.Alisema...

View Article

JK, Wakuu vyama vya siasa kukutana tena

Na Mwandishi wetuRais  Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kukutana kwa mara ya pili wakuu wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kujaribu kukwamua mchakato wa katiba...

View Article
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>