Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katuni wa Leo na Ujumbe wake.

View Article


Tani 14.3 za majongoo zasafirishwa nje

Na Laylat KhalfanTANI 14.35 za majongoo ya pwani, zimesafirishwa  nje ya nchi kwa mwaka 2013.Akizungumza na mwandishi wa habari ofisini kwake Maruhubi, Mkuu wa kitengo cha usarifu na ukuzaji wa...

View Article


Wenye ulemavu wawasilisha tena maoni bunge la katiba

Na Benedict Liwenga, MaelezoMWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amewahakikishia watu wenye ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika katiba mpya itakayopatikana.Aliyasema hayo jana...

View Article

Balozi Seif ataja sifa Rais ajae · Asema asiwe mdini, mbaguzi · Asema wako...

Na Mwantanga AmeWAKATI mbio za urais wa Tanzania zikianza, mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi, amesema Rais mpya anatakiwa awe mtu mwenye sifa wa kuwatumikia Watanzania  na...

View Article

Wanasiasa wahusishwa mauaji ya albino

Na Farida Msengwa, MorogoroWANASIASA wametajwa kuhusika kwa kiasi kikubwa katika ukatili na mauaji yanayofanywa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) ili kupata ushindi katika uchaguzi mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Akagua Vifaa na Eneo Maalum kwa Wangonjwa wa EBOLA Jijini...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif.Rashid  jinsi Tanzania ilivyojipanga kupambana na ugonjwa hatari wa ebola baada ya kukagua wodi maalumu iliyotengwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Afya na Naibu Wake Watembelea Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kuaza Kazi

 Mkurugenzi wa Idara ya Hospitali  Kuu ya Mnazimmoja Zanzibar Dkt. Jamala Adam,Taib akimueleza Waziri wa Afya Mh. Rashid Seif, kazi zinazofanywa na Idara hiyo alipofika ofisini kwake kuanza ziara ya...

View Article

Waziri wa Afya na Naibu wake watembelea Vitengo vya Hospitali ya Mnazi Mmoja.

Na Ramadhani Ali --Maelezo.Mkurugenzi wa Idara ya Hospitali ya Mnazimmoja  inayojumuisha Hospitali tatu, Hospitali ya Rufaa ya Mnazimmoja, Hospitali ya wagonjwa wa akili Kidongo chekundu na Hospitali...

View Article


Watoto 5,030 warejeshwa skuli

Na Hafsa GoloJUMLA ya watoto 5,030 wameokolewa katika ajira mbaya  na kurejeshwa skuli katika maeneo tofauti Unguja na Pemba.Aidha familia 920 zimeanzishiwa miradi mbali mbali ili kuwaendeleza watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazetini Leo Tz Bongo.

View Article

Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya

Na Mwandishi WetuTume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya kwanza ya ziara yake katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya ili kukusanya taarifa na kupokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katuni wa Leo na Ujumbe Wake

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makontena Hoteli ya Bwawani kuhamishiwa Malindi

 Wajumbe wa Mkutano uliojadili zoezi la kuhamisha Makontena kutoka Eneo la Bandari ya Malindi na kuwekwa katika Viwanja vya Malindi mbele ya Majengo ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar wakisikiliza viongozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kombe la Bima Black Sailors na Turkey (Miembeni City) Uwanja wa Mao Black...

Mchezaji wa timu ya Turkey mwenye jezi nyekundu akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa kwanza katika kundi A uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Black Sailors imeibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba ya Ligu Kuu ya Grand Malt Zanzibar kutimua fumbi 15-9-2014 Viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi Akutana na Rais Jakaya Kikwete...

 Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbaliRais Jakaya Kikwete...

View Article

Uchaguzi bila katiba mpya Wanasiasa wakubaliana Bunge liahirishwe Oktoba 4

Na Fatina Mathias, DodomaKituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachoundwa na vyama vya siasa, kimekubali mjadala wa Bunge la Katiba uendelee hadi Oktoba 4, ndipo Bunge hilo liahirishwe.Tamko hilo...

View Article


Mtoto ajeruhiwa kwa bomu

Na Joseph Ngilisho,ArushaMtoto Lowasa Ingine (15), mkazi wa kijiji cha Sepeto, wilayani Monduli,amelazwa hospitali ya Seliana, iliopo mjini Arusha, baada ya kujeruhiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni...

View Article

Waislamu wacharuka Mahakama ya Kadhi

Na Mwandishi wetu,DodomaBaadhi ya wajumbe wa Bunge la Maalum la  Katiba ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu, wametaka suala la mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba mpya. Mvutano huo ulijitokeza...

View Article

‘Hospitali Mnazimmoja kuimarishwa’

Na Ramadhani Ali, MelezoMkurugenzi wa Idara ya hospitali za Mnazimmoja,Dk. Jamala Adam Taib, amesema kazi kubwa inayofanywa na idara hiyo katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2010 ni kuimarisha...

View Article
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>