Maalim Seif:Ukosefu sera wachangia migogoro wafugaji, wakulima
Na Khamis Haji, OMKRKatibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema migogoro inayowakumba wakulima na wafugaji na kusababisha mauaji inasababishwa na serikali kukosa sera sahihi ya kilimo na...
View ArticleUmeme unavyosambazwa vijijini Pemba
KUWEPO kuwa Umeme wa Uhakika kisiwani Pemba Kutoka Mkoani Tanga kupitia Chini ya Bahari, tayari wananchi waishio katika visiwa Vidogo Vidogo wamekuwa wakinufaika na huduma hiyo, Pichani nguzo za Umeme...
View ArticleBalozi Seif atimiza ahadi ya matofali skuli ya msingi Ali Khamis Camp
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Juma Kassim Tindwa mwenyeshati nyeupe, akimkabidhi matufali 1000, Mwalimu Mkuu wa skuli ya Msingi Alkhamis Camp Eugene Rutegengwa, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi...
View ArticleDaraja Kojani linahitajika
IPO haja kwa Serikali kuwatengenezea daraja litakaowaunganisha wananchi wa Kojani mbonde na Kojani juu, ili kuondosha usumbufu kwa wananchi wakati wa kuvuka kwenda kuhitaji huduma muhimu za...
View ArticleHIGH LEVEL TANZANIAN DELEGATION VISITS STATE GENERAL RESERVE FUND (SGRF) OF OMAN
Hon. Dr. Mary Nagu – Minister of State in the Prime Minister’s Office was in Muscat Oman from 6 – 8 September 2014 to inaugurate and officiate the High Level Consultative Meeting between the...
View ArticleCUF walalamikia Tume ya uchaguzi ugawaji wa majimbo
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akizugumza na Waandishi wa Habari kuhusiana Kuilalamikia Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC juu ya upitiaji, ugawaji na ubadilishaji...
View ArticleTassaf yatoa ripoti ya utekelezaji wa mradi wa awamu ya tatu Pemba
MKALIMANI wa lugha za alama kisiwani Pemba, kwa watu wenye mahitaji maalum, Bi Asha akiwafahamisha vijana wenyeulemavu wa kusema (Bubu), wakati alipokuwa katika mafunzo yanayohusiana na maafa huko...
View ArticleNgao ya hisani KMKM na Shaba Amaan.KMKM Yaibuka Mshindi kwa 2--0.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ma, lim Seif Sharif Hamad, akiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Said Mbarouk na Viongozi wa ZFA, wakifuatilia mchezo wa Ufunguzi wa Ligi Kuu...
View ArticleHuduma ya tiba kwa wanyama
DK Ringo Aaron akimfanyia upasuaji Paka kwa kutoa uzazi, huko Ofisini kwakwe Wete, ambapo huduma hiyo ya upasuaji kwa wanyama ni moja kati ya huduma za kitabibu zinazotolewa na Idara ya Utabibu Pemba....
View ArticleBalozi Seif awapongeza Wabunge na viongozi wa Mkoa wa Singida
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mbunge wa Singida Mashariki Mh. John Chiligati mchango wa shilingi Milioni 1,500,000/- kwa ajili ya ununuzi wa mabati ya kuezekea...
View ArticleWaandishi kutoka Bara, Uganda na Zanzibar watembelea mkoa wa Lindi kukagua...
AFISA Rasilimaliwatu wa Halmashauri wa Kilwa mkoani Lindi, Charles Mwaitage akizungumza na waandishi wa habari wa nchi za Tanzania Bara, Uganda na Zanzibar walipofika afisini kwake, kabla ya kuanza...
View ArticleMnazimmoja yakiri wagonjwa kupatiwa chakula
Na Khamisuu AbdallahWizara ya Afya imesema bado inaendelea na utaratibu wa kugawa chakula kwa wagonjwa wanaolazwa katika hospitali zake zote.Akizungumza na mwandishi wa habari hizi ofisini kwake...
View ArticleWanaharakati wataka marekebisho mswada sheria ya Kadhi
Na Husna MohammedUelewa mdogo wa wanawake katika suala zima la mgawanyo wa mali hasa kwa wanadoa kwa kiasi kikubwa kunsababisha kukosa haki zao mara baada ya ndoa kuvunjika.Akizungumza na vyombo vya...
View ArticleMahujaji watakiwa kutofanya udanganyifu wanapofanya chanjo
Na Mwanajuma MmangaWaislamu wanaokwenda Makka kutekeleza ibada ya Hijja,wametakiwa kutofanya udanganyifu wakati wanapofanya chanjo za maradhi mabali hasa katika kipindi hichi ambacho mataifa ya Afrika...
View ArticleTRA mwenyeji mkutano wa kodi Afrika
Na Haroub Hussein, Dar es SalaamMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa taasisi za kodi Afrika.Mkutano huo utakaoanza tarehe 15 hadi 19 mwezi huu utafunguliwa na...
View ArticleIGP Mangu ataka wahalifu wafichuliwe
Na Kija Elias, MoshiJjeshi la Polisi limewataka wananchi kutoa taarifa sahihi juu ya uhalifu ambao umekuwa ukijitokeza nchini.Kauli hiyo imetolewa na IGP, Ernest Mangu, wakati akizindua kituo cha...
View ArticleWaziri Ferej azipongeza NGO’s
Na Khamis Haji, OMKRWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Fatma Abdulhabib Ferej, amesema serikali inathamini mchango unaotolewa na jumuiya za kiraia pamoja na vyombo vya...
View Article