Usafiri wa Baskeli Zenj.
Usafiri wa b aske.li kwa Visiwa vya Zanzibar ni maarufu kwa wakazi wake takriba kila Mwanan chi anamiliki baskeli mjini Zenj Wanafunzi hawa wa Skuli ya Msingi Muyuni B wakijitayarisha kupanda baskeli...
View ArticleMakamu wa Rais Dk. Bilal Akutana na Uongozi wa NEC-JAPAN Ikulu Jijini Dar.es-...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Shirika la NEC Corporation la Japan, Dkt. Nobuhiro Endo, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu...
View ArticleCheyo awashangaa UKAWA
Na Mwandishi Wetu. DodomaMWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), John Cheyo, amesema mchakato wa katiba unaendelea vizuri na kwamba wakati walipozungumza na Rais Kikwete, walikubaliana...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE LAUNCHES World bank's report on Productive Jobs Necessary...
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Managing Director of the World Bank Ms Sri Mulyani Indrawati as he arrives at the launch of the bank's report on Productive Jobs Necessary for Tanzania’s...
View ArticleWadau wa Maendeleo wa Mfuko wa TASAF Watembelea Wananchi walioko katika...
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Tanzania Ndg. Ladislaus Mwamanga, akitowa maelezo na kuufahamisha Ujumbe wa Wadau kutoka Benki ya Dunia wanaochangia Mfuko wa Tasaf awamu ya Tatu, kuhusiana na Mpango wa...
View ArticleWafanyakazi shamba la mpira Kichwele waanza kulipwa
Na Kauthar AbdallaHatimae wafanyakazi wa shamba la mipira la Kichwele wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, wameanza kulipwa mishahara yao baada ya kufanya kazi kwa muda wa zaidi ya miezi sita.Wafanyakazi...
View ArticleMwalimu madrasa adaiwa kumdhalilisha mwanafunzi
Madina Issa na Khamisuu AbdallahWakati Serikali na taasisi za kiraia zikiendelea kukemea vitendo vya udhalilishaji, bado viunaendelea kushamiri.Katika tukio la hivi karibuni mwanafunzi mwenye umri wa...
View ArticleSerikali yajiandaa kukabiliana na maafa
Na Husna ShehaKATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Dk.Khalid Mohammed, amesema serikali inatafuta vifaa vya kisasa kukabiliana na maafa.Alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wa vyama vya...
View ArticleDk Shein : Zanzibar yafurahishwa na utayari wa Benki ya Dunia Kushirikiana...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 13 Septemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na...
View ArticleDk.Shein Akutana na Ujumbe wa Benki ya Dunia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu...
View ArticleSiku ya Unyonyeshaji duniani yaadhimishwa
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini ‘A’ Khamis Jabir Makame akisalimiana na kina mama wanyonyeshaji waliofika katika madhimisho ya siku ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika huko kijiji cha Nungwi...
View ArticleDk Bilal awaaga Mahujaaj leo
Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya Shirikisho ya kamati za Hijja alipowasili Viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa...
View ArticleDk Bilal aifariji familia ya Spika mstaafu wa BLW
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpa pole mjane wa aliyekuwa Spika wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzinzibar Mhe. Ali Khamis aliyefariki hivi...
View ArticleMchezo wa Kirafiki Kati ya Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Simba na wa Zanzibar.
Benchi la wachezaji wa zamani wa Simba wakifuatilia mchezo wao wa kirafiki kati yao na Wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa.Mchezaji wa zamani wa timu ya Annur na Malindi Ali Adof akipongezana na...
View ArticleWizara ya Afya yatoa elimu ya maradhi yasioambukiza
Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma akifungua Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza katika Ukumbi wa Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar....
View ArticleKatiba ya Bunge Septemba 21
Na Fatina Mathias, DodomaMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amesema rasimu ya mwisho itakamilika Septemba 21 mwaka huu ambapo wajumbe wa bunge hilo watakuwa wamefikia lengo...
View ArticleArdhi, uraia pacha gumzo bungeni
Na Benedict Liwenga, MaelezoMasuala ya migogoro ya ardhi inayowahusisha wafugaji na wakulima na uraia pacha, yamerejea tena katika mjadala wa katiba mpya unaoendelea Dodoma.Masuala mengine yaliyochukua...
View ArticleMwakyembe awachimba mkwara madereva wa treni
Na Fatina Mathias, Dodoma.Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema atawafukuza kazi madereva wa treini watakaobainika kuiba mafuta au kutumia vibaya mali ya shirika la Reli Tanzania.Alitoa...
View Article