Jaji Ramadhan Rais mpya mahakama ya Afrika
Na Mahmoud Ahmad, ArushaMahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, imemteua Jaji Mkuu (mstaafu) wa Tanzania, Agustino Ramadhan, kuwa Rais wa mahakama hiyo, kwa kipindi cha miaka miwili.Anachukua nafasi ya...
View ArticleKilimani City Bingwa wa Kombe la Bima Zanzibar
Katibu Mstaaf wa ZFA Mzee Zam akimkasbidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Bima Zanzibar Nahodha wa timu ya Kilimani City Mohammed Haji baada kuibuka bingwa wa michuano hiyo katika mchezo wa fainali...
View ArticleBandari yataka uwanja wa Malindi kuhifadhia makontena
Na Mwashamba JumaMjadala umeibuka kufuatia Shirika la Bandari Zanzibar kutaka lipatiwe uwanja wa Malindi kwa ajili ya kuhifadhia makontena.Mjadala huo uliibuka wakati Shirika hilo lilipokutana na wadau...
View Article'Hakuna malipo mengine kwa Hajj Mabruur isipokuwa pepo'
Abu ‘AmmaarTunapoazimia kwenda kufanya ibada ya Hajj, hatuna budi kujipanga katika mpangilio ambao tutahakikisha tutanufaika katika safari yetu hii muhimu katika kila Nyanja ya maisha yetu. Ni fursa...
View ArticleZiara ya Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dk. Kassim Gharib Juma (kushoto) akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International Steve Denne na Dk. Henry Njakoi, Mkurugenzi...
View ArticleTamasha la EzyPesa katika Viwanja vya Kibanda Maiti Zenj.
Msanii wa Kizazi kipya Bongo Flava Ramo akilishambulia jukwaa kwa aina yake wakati wa Tamasha la Ezy Pesa lililofanyika katika viwanja vya Kibanda Maioti Zenj , kuitangaza huduma ya EzyPesa kuweza...
View ArticleMakasmu wa Rais Dk. Mohammed Bilal Akutana na Mbunge Shirikisho la Ujuerumani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Mhe. Charles M. Huber (wa pili kushoto) ambaye ni Mbunge na Mjumbe wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na...
View ArticleDk Shein awasili Comoro kuanza ziara ya siku nne
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN AKISALIMIAANA NA BALOZI COMORO NCHINI TANZANIA ALIPOWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA COMORO AKIWA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI...
View ArticleDk Shein ziarani Comoro
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 15 Septemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na...
View ArticleSerikali kufanya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya kwa mwaka 2014/15
Na Faki Mjaka-Maelezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatarajia kufanya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya kwa Mwaka 2014/15 ambao utasaidia kutoa viashiria mbali mbali kwa ajili ya kutathmini...
View ArticleLigi Kuu ya Grand Malt Yaanza kutimua vumbi viwanja vya Amaan na Gombani leo.
Wachezaji wa timu mbili za Chuoni na Zimamoto zikiingia Uwanja kuaza kwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar wakiongozwa na Waamuzi wa mchezo huo, uliofanyika katika uwanja wa Amaan...
View ArticleSita atangaza Ratiba ya kutafuta katiba mpya
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amesoma ratiba kamili ya mchakato wa katiba mbele ya wajumbe ili kuhakikisha kuwa malengo ya upatikanaji wa katiba hiyo yanafikiwa.Mhe. Sitta...
View ArticleDk. Shein ziarani Comoro
Na Said Ameir, ComoroRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, yuko Comoro kuanza ziara ya kikazi ya siku nne kufuatia mwaliko wa Rais wa visiwa hivyo, Mhe....
View ArticleBalozi Seif akemea chokochoko za kidini
Na Othman Khamis, OMPRMAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, amesema viongozi wa kidini wanapaswa kuwa macho kuzikataa choko choko na ushawishi unaotolewa na wanasiasa.Alisema...
View ArticleTumbe wapiga marufuku kuuza samaki wa kuzamia Ramadhani Wakanusha wavuvi...
Na Masanja Mabula, PembaVIONGOZI wa kamati ya maadili na Mashekhe katika shehia ya Tumbe, wamesema hakuna mvuvi aliyefukuzwa ama kuzuiwa kuvua na kuuza samaki katika bandari ya Tumbe.Wakizungumza na...
View ArticleKarafuu inaweza kuinua uchumi’
Na Hafsa GoloNAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili, Juma Ali Juma, amesema Zanzibar ina nafasi kubwa ya kuinua uchumi na kipato cha wananchi kupitia zao la karafuu.Aliyasema hayo jana ofisi...
View ArticleKessy ashambuliwa kama nyuki Ni baada ya kuwabagua Wazanzibari
Na Mwandishi Wetu.MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Mohamed Kessy (CCM), jana alichafua hali ya hewa ya Bunge Maalum la Katiba, baada ya kupinga Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa...
View Article