$ 0 0 IPO haja kwa Serikali kuwatengenezea daraja litakaowaunganisha wananchi wa Kojani mbonde na Kojani juu, ili kuondosha usumbufu kwa wananchi wakati wa kuvuka kwenda kuhitaji huduma muhimu za kiafya.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)