Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakiwa katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar Mazizini kufuatilia habari kuhusu Mwanasheria Mkuu kupata ukweli wa habari iliozagaa kuachia ngazi na kuwaeleza yeye hakujiuzulu na anaendelea na kazi
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud akizungumza na waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kutaka kupata habari za kwamba inasemekana amejiuzulu Wadhifa wake na kusema yeye hakujiuzulu na anaendelea na kazi.
Waandishi wakiwa na Mwanasheria Mkuu akitoka Ofisini Kwake walipofika kupata habari jana mchana. baada ya kuenea kwa uvumi wa kujiuzulu kwake.kupitia mitandao ya Kijamii.
Waandishi wakitoka Ofisi za Mwanasheria Mkuu baada ya kupata ukweli.kutoka kwa Mwanasheria Mkuu Mhe Othman Masoud.