Dk.Shein akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa ICT nchini Samoa
Baadhi ya mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa ,mkutano huo wa siku nne unaendelea katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samaoa.]...
View ArticleKituo cha Kimataifa cha Bashara ( ICT) kusaidia jitihada za Serikali kuongeza...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar Jumatano 03 Septemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIApia, SamoaKituo cha Kimataifa...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA WA BAHATI MWAKABUNGU
MAREHMU BAHATI MWAKABUNGU ENZI ZA UHAI WAKE WANAFUNZI AMBAO TUMEPITA CHUO CHA BIASHARA KITUO CHA DAR ES SALAAM (CBE) TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA ALIYEKUWA MWANAFUNZI MWENZETU BAHATI MWAKABUNGU...
View ArticleMwakilishi Kikwajuni asaidia Saccoss ya wanawake
Na Zainab AnuwarMWAKILISHI wa jimbo la Kikwajuni, Mahamoud Mohamed Mussa, amewataka akina mama wa Saccoss ya Ishara Njema, kuendelea kuimarisha umoja na ushirikiano ili waweze kujiletea...
View ArticleJumuiya kuchunguza kasansa ya shingo ya kizazi
Na Kauthar AbdallaJUMUIYA ya maradhi yasiyoambukiza Zanzibar, inakusudia kufanya uchunguzi wa awali wa kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake walio na umri wa miaka 35 na kuendelea.Akizungumza na...
View ArticleWakulima wahimizwa kuitunza mikarafuu
Na Tatu MakameMKUU wa kitengo cha mazao ya biashara kutoka Idara ya Misitu na Maliasili Zisizorejesheka, Is-haka Mohamed Abdulwakil, ametoa wito kwa wakulima wa karafuu kuwa na utamaduni wa kuitunza...
View ArticleTEACA yagawa mizinga ya nyuki
Na Kija Elias, MoshiKATIKA kukabiliana na matukio ya uharibifu wa mazingira mkoani Kilimanjaro, Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na utunzaji na uhifadhi wa mazingira (TEACA),...
View ArticleBalozi Seif amaliza Muda wa kuwa Mlezi wa Mkoa wa Singida
Mke wa Mlezi Mstaafu wa Mkoa wa Singida Kichama Mama Asha Suleiman Iddi akiwaasa Viongozi wa Halmashauri za Wilaya za Mkoa huo kudumisha umoja ili kuongeza nguvu za Chama chao.Mlezi Mstaafu wa Mkoa wa...
View ArticleMichuano ya Kombe la Bima Taifa ya Jangombe na Turkey Uwanja wa Mao.
Mchezaji wa timu ya Turkey mwenye jezi nyekundi akimpita mlizi wa timu ya Taifa ya Jangombe, katika mchezo wa Kombe la Bima Zanzibar, uliofanyika katika uwanja wa Mao, timu ya Turkey imeshinda 3-2....
View ArticleKongamano la Kupinga Ukatili na Unyanyasaji Kijinsia Watoto na Wanawake...
Wanawake wakiwa katika maandamano wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kupinga Vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia kwa Wanawake na Watoto Zanzibar wakipita mbele ya mgeni rasmin lililofanyika Wilaya ya...
View ArticleJK akerwa na ufaulu mdogo Chemba, Kondoa
Na Fatina Mathias, DodomaRais Jakaya Kikwete, ameshangazwa na ufaulu wa chini katika wilaya za Chemba na Kondoa mkoani Dodoma na kuwataka viongozi kukaa chini na kujiuliza sababu ya kushuka kwa...
View ArticleNzowa kuwashughulikia vigogo wauza unga
Na Joseph Ngilisho, ArushaKAMANDA wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (SACP) Godfrey Nzowa, ameapa kutokomeza wimbi la uingizaji na usafirishaji wa dawa za kulevya huku...
View ArticleDC magharibi aahidi kumaliza migogoro ya ardhi
Na Hafsa GoloMKUU wa wilaya ya magharibi Unguja,Ayoub Mohammed Mahamoud, amesema anakusudia kulipatia ufumbuzi tatizo sugu la ndani ya wilaya ya magharibi ambalo limeonekanwa kudumu kwa muda...
View ArticleWabunge wapinga ukomo wa ubunge
Na Mwantanga Ame,DodomaKAMATI za Bunge Maalum la Katiba, zimepinga ukomo wa kushika nafasi za ubunge, kama ilivyopendekezwa katika rasimu ya katiba na kutaka mfumo wa sasa uendelee.Mwenyekiti wa Kamati...
View ArticleWafanyakazi ZanzibarLeo wahimizwa kuwa wamoja
Na Mwashamba JumaWAFANYAKAZI wa Shirika la Magazeti ya Serikali, linalochapisha magazeti ya Zanzibar Leo, Zanzibar Leo Jumapili na Zaspoti, wameaswa kujenga ushirikiano na udugu katika kufanikisha...
View Article