Mratibu wa Programu maalum za Tume ya Kudhubiti Maambukizi ya UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Bw.Renatus Kihongo (katikati akiongea na Wanahabari kuhusu uwekaji wa vituo vya kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ukimwi katika vituo vya madereva wa magari yanayosafiri safari ndefu.wa kwanza kutoka kushoto ni Afisa Habari wa TACAIDS Bwana Godlease Malisa na wa kwanza kutoka kushoto ni Bi. Nadhifa Omar
Mratibu wa Programu maalum za Tume ya Kudhubiti Maambukizi ya UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Bw.Renatus Kihongo (katikati akiongea na Wanahabari kuhusu uwekaji wa vituo vya kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ukimwi katika vituo vya madereva wa magari yanayosafiri safari ndefu.wa kwanza kushoto ni Afisa Habari wa TACAIDS Bwana Godlease Malisa na kwanza kutoka kushoto ni Bi. Nadhifa Omar. (PICHA ZOTE NA BENJAMIN SAWE).