MWAKILISHI wa Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba Mhe: Mohamed Mbwana Hamad akizungumza na waalimu, wanafunzi na wazazi wa Jimbo la Chambani, kabla ya kukabidhi mifuko 100 ya saruji na nondo 50, kwa ajili ya kuendeleza jengo la skuli ambalo alilianzisha alipokua mwalimu mkuu wa skuli hiyo mwaka 2010

WASHIRIKI wa mdahalo wa kuwasilisha sera ya serikali za mitaa, ulioandaliwa na mwemvuli wa jumuia za kiraia Zanzibar ‘NGOZA’ wakimsikiliza mmoja wa watoa mada hayupo pichani, mdahamo huo ulifanyika skuli ya maandalizi Madungu Chakechake Pemba, na kuwashirikia viongozi wa asasi za kirai Pemba, ambao ni wanachama wa ‘ANGOZA’
MSHIRIKI wa mdahalo uliozungumzia sera ya serikali za mitaa, Hamad Hassan Chande, akichangia mada kwenye mdahalo huo uliofanyika skuli ya maandalizi Madungu mjini Chakechake Pemba ambao uliandaliwa na ANGOZA (picha na Haji Nassor, Pemba)