Nyangumi aliyepwerewa katika ufukwe wa bahari ya Pemba Wilaya ya Mkoani akiwa na urefu wa mita 45 na upana mita 25 akiwa mkatika ufukwe wa shamiani Pemba wananchi wakikata mapande ya mnofo wake,
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Nyangumi huyu wananchi wakifanya kazi yao kukata minofo ya nyangumi huyu kwa ajili ya kupata mafuta ya nyangumi..