Nyangumi apwerewa Shamiani Pemba
Na Mwandishi Wetu. Pemba.Katika hali isio ya kawaida huko maeneo ya bahari ya Shamiani (kwa gombe) jimbo la kiwani mkoa wa kusini Pemba kumeibuka kiumbe kikubwa cha ajabu kutoka baharini ambacho...
View ArticleNyangumi alipwerewa Shamiani Pemba Akiwa Tayari Sehemu yake imekatwa na...
Nyangumi aliyepwerewa katika ufukwe wa bahari ya Pemba Wilaya ya Mkoani akiwa na urefu wa mita 45 na upana mita 25 akiwa mkatika ufukwe wa shamiani Pemba wananchi wakikata mapande ya mnofo wake, Hivi...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt,Bilal Azindua Kivuko cha Mv Tegemeo Kufanya Safari za...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema,...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE VISITS CNN STUDIOS IN NEW YORK
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York. CNN is an American basic cable...
View ArticleMajambazi wapora milioni 30.6 wajeruhi Polisi, Mfanyabiashara
Na Tatu Makame, Laylat KhalfanWATU wawili akiwamo askari mmoja wamenusurika kifo baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, waliofanikiwa kupora mfuko wa fedha unaosadikiwa kuwa...
View ArticleLigi Kuu Miembeni na Zimamoto imeshinda 4--1
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad akimpita beki wa timu yaMiembeni Salum Seif, wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya Zimamoto imeshinda...
View ArticleWizara ya afya Zanzibar yapokea Msaada wa Gari za Kubebea Wagonjwa...
Waziri wa Afya Rashid Seif akizungumza na watendaji wa Wizara yake na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za kukabidhiwa msaada wa gari za ambulance uliotolewa na UNFPAWaziri wa Afya Rashid Seif...
View ArticleShirika la UNFPA Yakabidhi magari ya Wagonjwa Zanzibar.
Na RAMADHANI ALI /MAELEZO ZANZIBAR Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu (UNFPA) limekabidhi msaada wa magari manne ya Ambulance kwa Wizara ya Afya ya...
View ArticleDk. shein:Tunakaribisha Miradi Mikubwa ya Utalii Kutekeleza Malengo ya Dira...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 29 Septemba, 2014TAARIFA KWA...
View Article‘Mtatenda dhambi msipopitisha rasimu’
Na Othman Khamis, OMPRMJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Hamad Rashid Mohamed, amesema dhambi kubwa itafanywa na wajumbe wa bunge hilo kama watawakosesha Watanzania rasimu ya katiba mpya wanayoisubiri...
View ArticleTAMWA yapongeza wakazi wa Mbezi kwa kueleza hisia zao kwa vitendo
Na Mwandishi wetuCHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti...
View ArticleJK aunga mkono malengo mapya ya milenia
Na Mwandishi wetuTANZANIA iko tayari kushirikiana na wanachama wote wa Umoja wa Mataifa (UN) kufikia makubaliano ya Malengo ya Maendeleo mapya baada ya Malengo ya Milenia (MDGs) ya sasa kufikia mwisho...
View ArticleZSTC yasaidia wajasiriamali Pemba
Na Marzouk Khamis, Maelezo-PembaMKURUGENZI Fedha wa Shirika la Biashara la Zanzibar (ZSTC), Ismai Omar Bai, amesema Shirika limepata mafanikio katika ununuzi na uimarishaji wa zao la karafuu kutokana...
View ArticleMaalim Seif Akutana na Waziri Mkuu wa Zamani wa Uingereza Brown.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Gordon Brown (kushoto) na wajumbe wengine huko jijini Istanbul...
View Article