Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Pemba, ambae pia ni Kamanda wa opreretion Karufuu Kanda ya Pemba, Msaidizi Kamishna wa Zimamoto Zanzibar , Iddi Khamis Juma , akitowa maelezo kwa Waandishi wa Habari huko Bandarini Uchangani Wesha .
Mapipa ya Mafuta ya Disel ambayo yalikuwa yanaingizwa kisiwani Pemba kwa njia ya Magendo na kukamatwa na Vikosi vya SMZ, Vilivyoko Mkumbuu wakati vikiwa katika Doria ya Kawaida.katika maeneo hayo.
Wapiganaji wa Kikosi cha Zimamoto Pemba, wakipeleka Tangi la Mafuta yaliokamatwa kwenye Boti , inayofanya Doria huko katika Bandari ya Uchangani Wesha.