Mbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua kipya Mji Mwema...
Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile akifunguaRasmi (Wa Pili Kulia)kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya. Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya...
View ArticleKikoao cha Baraza la Wawakilishi Kupitisha Miswaada Miwili
TANGAZOKatika kikao cha Baraza la Wawakilishi kitakachofanyika Tarehe 22/10/2014, Baraza la Wawakilishi la Zanzibar linatarajia kupitisha Miswaada miwili ambayo ni; Mswaada wa Sheria ya Madaili ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA NBC IKULU DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni...
View ArticleHutuba ya Rais wa Zanzibar Dk. Shein Baraza la Eid Alhajj
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LAMAPINDUZI, MHESHIMIWA AL-HAJ DK ALI MOHAMED SHEIN,KATIKA BARAZA LA IDD EL HAJJ, OKTOBA, 2014 (Mwezi 10 Mfunguo Tatu: 1435)Bismillahi Rahmani...
View ArticleRais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya kusalia Sala ya Eid Alhajj Konde Wilaya ya Micheweni Pemba, akiongozana na Waziri wa...
View ArticleBenki ya Watu wa Zanzibar Ltd. Yakabidhi nyama kwa Wazee Sebleni na Welezo na...
Kaimu Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Ndg. Seif Suleiman, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la kugawa Nyama kwa Wazee Nyumba za Wazee Sebleni na Welezo na Nyumba...
View ArticleDk. Shein Ahutubia Baraza la Eid Al Hajj Ukumbu wa Chuo cha Kiislam Kiuyu Pemba.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Kiislam Kiuyu kuhudhuria Baraza la Eid, Kitaifa limefanyika katika Wilaya ya Micheweni Pemba, Makamu wa...
View ArticleMchezaji wa Timu ya Zimamoto Atakosa mechi tatu za ligi Kuu Zanzibar.
Klabu ya Zimamoto inayoshiriki ligi kuu ya soka ya Grand Malt Zanzibar imezidi kupata doa kufuatia mchezaji wake Ali Salum Bakar maarufu Kibata kufungiwa kutoshuka kiwanjani kwa michezo mitatu.Kifungo...
View ArticleJK Awajulia hali Wakuu wa Mikoa ya Kilimanjaro, Simiyu na na Mjumbe wa Bunge...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleUzinduzi wa Maonesho ya Stemp za Zamani na za Sasa katika Viwanja vya...
Meneja Mkaazi Zanzibar Shirika la Posta Tanzania Bi Mwanaisha Said, akitowa maelezo ya maana ya Stemp wakati wa uzinduzi wa maonesho ya Stemp Zanzibar ikiwa ni kujumuika na Mashirika ya Posta Duniani...
View ArticleVikosi vya SMZ vyakamata Mafuta ya Magendo Kisiwani Pemba yakingizwa...
Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Pemba, ambae pia ni Kamanda wa opreretion Karufuu Kanda ya Pemba, Msaidizi Kamishna wa Zimamoto Zanzibar , Iddi Khamis Juma , akitowa maelezo kwa Waandishi wa...
View ArticleDk Jakaya Mrishio Awataka Mabalozi Msiingize Dini katika Siasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa...
View ArticleBreeking Newss Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk....
Mhe Said Hassan Said Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar,...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal Asaini Kitabu cha maombolezi ya Msiba wa Profesa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath...
View ArticleTiba ya mgonjwa mmoja wa Ebola Sh. 520m
Mwandishi wetu na mitandaoWAKATI Zanzibar ikichukua juhudi kuhakikisha ugonjwa wa Ebola hauingii nchini kwa kuwapima abiria wanaoingia nchini kupitia uwanja wa ndege na bandarini, imebainika tiba ya...
View ArticleTAMWA kuzindua ripoti kuhusu unywaji pombe, unyanyasaji
Na Mwandishi wetuChama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) leo kitazindua taarifa ya utafiti kuhusu kiwango cha unywaji pombe na ukatili wa kijinsia.Taarifa ya utafiti huo inaonesha kiwango cha...
View ArticleWatoto 81 wazaliwa mkesha wa sikukuu
Na Mwanajuma MmangaJumla ya watoto 81 wamezaliwa katika mkesha wa sikukuu ya Idd el Hajj katika hospitali ya Mnanzimmoja na Muembeladu.Kati ya watoto hao, 61 wamezaliwa hospitali ya Mnazimmoja wakiwemo...
View Article