Mabaraza ya watoto, wazee kusaidia kuimarisha maendeleo yao
Na Asya HassanOFISA Tawala wilaya ya magharibi, Sabah Saleh, amesema kuanzishwa mabaraza ya watoto na wazee kutasaidia kuimarisha maendeleo yao.Alisema hayo katika uzinduzi wa mabaraza hayo kwenye...
View ArticleJe vifo vya watoto vimepungua Afrika?
Na Mwandishi wetuSEPTEMBA mwaka 2000, viongozi kutoka kote duniani walitia saini mkataba wa kutiumiza Malengo nane ya kimaendeleo ya Milenia (Millennium Development Goals (MDG).Kila lengo likidhamiria...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal Ahudhuria Kongamano la Biashara la Kimataifa kwa...
Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema...
View ArticleZSSF Yakabidhi Msaada wa Mabati kwa Ajili ya Kituo cha Afya Kinuni.
Jengo la Kituo cha Afya Kinuni kilichojengwa kwa Nguvu za Wananchi wa Shehia tatu za Kinuni, Mwera na Mtofaani, kikiwa katika hutua kubwa ya Ujenzi wake, Wanaomba msaada kwa swafadhili mbalimbali ili...
View ArticlePolisi wakanusha kupanga kuwafanyia kitu kibaya CHADEMA
Na Rose Chapewa, MwanzaJESHI la polisi mkoani Mbeya limeelezea kusikitishwa na habari ya uchochezi iliyoandikwa na chombo kimoja cha habari, ikidai jeshi hilo litakifanyia kitu kibaya Chama cha...
View ArticlePolisi wajipanga kuwashughulikiwa wauza ‘unga’
Na Masanja Mabula, PembaKAMISHNA wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, amekiri baadhi ya maeneo ya visiwa vya Zanzibar yanatumika kuingiza dawa za kulevya.Alisema mwarubaini pekee wa kukabiliana na...
View ArticleOman kulijengea uwezo ZBC
Na Mwandishi wetu, OmanOMAN imeahidi kuliimarisha Shirika la Utangazaji la Zanzibar (ZBC) kwa kulipatia vifaa vitakavyoliwezesha kukusanya na kurusha matangazo yake na kuonekana vyema katika nchi za...
View ArticleWagonjwa wa kisukari watembea kilomita 20 kutafuta matibabu
Na Kija Elias, SihaWAGONJWA wa kisukari wilayani Siha mkoani Kilimanjaro, wanalazimika kutembea umbali wa kilometa 20,kutafuta matibabu kutokana na huduma hiyo kutolewa katika hospitali ya wilaya...
View ArticleFainal Kombe la Karume Basket Ball Polisi na Rangers.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwakimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Kombe la Karume Nahodha wa timu ya Polisi Ndg, Mohammed Kassim, baada ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya timu ya...
View ArticleWEaandishi Washauriwa Kutumia Teknolojia Kuhifadhi Kazi Zao.
Na Mwashamba Juma, Dar es SalaamWAANDISHI wa habari nchini wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kurahisisha kazi zao kwa kuziweka salama na kuzinusuru na athari za teknolojia hiyo.Akizungumza...
View ArticleWafanyakazi Uwanja wa Ndege Pemba Watakiwa kufanya kazi kwa Bidii na...
Na Bakar Mussa, PembaWafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Pemba, wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na uwajibikaji.Hayo yalielezwa na Mkurugenzi wa raslimali watu wa mamlaka hiyo, Rajab Talib...
View ArticleHistoria yaandikwa Rasimu inayopendekezwa yapita
Na Mwantanga AmeHatimae wajumbe wa bunge maalum la katiba, wamepitisha rasimu ya katiba inayopendekezwa, baada ya kupata theluthi mbili ya kura kutoka pande zote mbili za Muungano.Furaha na nderemo...
View ArticleUCHUNGUZI WA MAGONJWA YA BINADAMU CHA UDOM Inbox x MUHIDIN MICHUZI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya...
View ArticleTusome Tujifunze
Watoto hawa wamekuta katika moja ya duka la magazeti katika mji wa Chakechake wakipitia magazeti yaliokuwa katika duka hilo kupata habari na kujifunza kusoma kupitia magazetini kama wanavyoonekana...
View ArticleDk. Shein Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhutria Baraza la Eid Kesho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usdalima uwanja wa ndege Chake baada ya kuwasili kisiwani humo kuhudhuria...
View ArticleBalozi Seif Akutana na Muwekezaji kutoka Marekani na Balozi wa Heshima wa...
Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani ambae pia ni Murugenzi wa Kampuni ya Ms Shimoja Dr. Robert Shumake akimtambulisha Makamu wa Rais wa Kampuni ya maendeleo ya ujkenzi ya Detroit Nchini...
View Article