Wapiga Picha Zanzibar Washahijishwa Kuunda Jumuiya Yao.
Afisa Uhusiano wa Kamesheni ya Michezo Zanzibar Ndg, Mustafa Omar, akizungumza katika mkutano huo na Wapiga picha kuwataka kuunda Jumuiya yao kuweza kushiriki katika matamasha mbalimbali ya maonesho ya...
View ArticleDkt. Bilal Aiwakilisha Tanzania katika Kongamano la Kimataifa.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMAKAMU WA RAIS AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA KONGAMANO LA PILI LA KIMATAIFA LA BIASHARA KWA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DUBAIOKTOBA 03, 2014Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleUjenzi wa Utanuzi wa barabara ya kupitia ndege Ukiendelea kwa Kasi.
UJENZI wa utanuzi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ukiendelea na ujenzi wake katika barabara za kupitia ndege, kama inavyoonekena pichani mafundi wakiwa katika harakati za...
View ArticleDk. Shein ateua Wenyeviti wa Bodi
Na Mwandishi WetuRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Ali Mohammed Shein, amefanya uteuzi wa wajumbe wa bodi katika taasisi mbali mbali za serikali.Uteuzi huo ulitangazwa...
View ArticleWamarekani waahidi kuwekeza Z’bar
Na Khamis AmaniMAMLAKA ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) imewaomba wafanyabiashara wa kigeni kuvitumia vizuri vivutio vya Zanzibar kwa kuwekeza miradi yao.Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA,Ndg....
View ArticleFinland yamwaga fedha kwa wabunifu
Na Mwanajuma Abdi, Dar es SalaamSERIKALI ya Finland imekabidhi hundi ya shilingi milioni 150, kwa washindi 10 wa tunzo ya ubunifu wa mfumo wa habari na mawasiliano yanayorahisisha upatikanaji wa huduma...
View ArticleWananchi Kisiwani Pemba wakiwa katika harakati za Maandalizi ya Sikukuu.
Wananchi katika Mji wa Chake chake wakiwa katika harakati za maandalizi ya kutafuta mahitaji kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid Alhajj inayotarajiwa kuadhimishwa mwishoni mwa wiki hii kuungana...
View ArticleChangamoto za usafiri wa anga kufanyiwa kazi
Na Kauthar AbdallaSERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema itahakikisha inazifanyia kazi changamoto zinazoikabili sekta ya usafiri wa anga ili kuimarisha usalama wa sekta hiyo.Waziri wa...
View ArticleAfariki baada ya kugongwa na gari
Na Madina IssaMTU mmoja amefariki dunia baada ya kufikishwa hospitali kuu ya Mnazimmoja, akipatiwa matibatu baada ya kugongwa na gari.Marehemu alitambulikana kwa jina la Ali Faki Khamis (22) mkaazi wa...
View ArticleWananchi 24,000 wa vijijini kunufaika na umeme
Na Joseph Ngilisho, ArushaWANANCHI zaidi ya 24,000 waishio vijijini wanatarajia kunufaika na mradi wa umeme wa j na upepo katika kipindi cha miezi 18 ijayo.Hayo yalisemwa na Kamishana wa Nishati na...
View ArticleMabaraza ya watoto, wazee kusaidia kuimarisha maendeleo yao
Na Asya HassanOFISA Tawala wilaya ya magharibi, Sabah Saleh, amesema kuanzishwa mabaraza ya watoto na wazee kutasaidia kuimarisha maendeleo yao.Alisema hayo katika uzinduzi wa mabaraza hayo kwenye...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUTUBIA KIKAO CHA KAZI KWA VIONGOZI WA MIKOA< WILAYA NA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha Kazi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kilichofanyika katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma(Picha na Ikulu)
View ArticleZantel yafungua Duka lake Mtaa wa Samora Dar. (SAMORA SHOP OPENING)
Dar-es- Salaam, Oct 02nd, 2014: In the effort to bring customer care services closer to its customers in the country, ZANTEL has opened its 19th customer care shop along Samora Avenue, Dar es...
View ArticleOMANI NA UJERUMANI KUSAIDIA SEKTA YA HABARI ZANZIBAR
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akizungumza na wana Habari kuhusu ziara yake yakikazi ya siku nane Nchini Ujerumani na Oman ikiwa ni hatua ya kukuza mashirikiano ya...
View ArticleUfungajim wa Mkutano wa Umoja wa AATO Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocein View...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Tahir M.K. Abdullah akitoa hutuba ya ufungaji wa Mkutano wa siku tatu wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika.Mkutano huo...
View ArticleLigi Kuu Mtende na Shaba Gombani Pemba Timu Hizo zimetoka sare ya 1--1
Kikosi cha timu ya Shaba yas Kojani Pemba Maarufu (Wazee wa Dago) kilichoilazimisha timu ya Mtende Rangers kutona nao sare ya mabao 1--1katika mchezo uliofanyika uwanja wa gombani Pemba Kikosi cha timu...
View ArticleJamii yahimizwa kushirikiana kwenye malezi
Na Kauthar AbdallaIPO haja ya kurejeshwa malezi ya pamoja katika jamii pamoja na kuimarisha ndoa ili kutunza familia na watoto kuepukane vitendo vya udhalilishaji.Mjumbe kutoka Chama cha Waandishi wa...
View ArticleWanyama 21,000 wapatiwa chanjo kujikinga na kichaa cha Mbwa
Na Salama Salim, ZJMMCZAIDI ya wanyama 21,000 wamepatiwa chanjo ya kuwakinga na maradhi ya kichaa cha mbwa katika maeneo mbali mbali ya Zanzibar.Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkuu wa Kitengo...
View ArticleWanahabari watakiwa kuibua udhalilishaji
Na Khamisuu AbdallahWAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuibua masuala mbalimbali ya udhalilishaji wa kijinsia ili kuongeza uelewa kwa jamii.Akifungua mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari...
View ArticleKandwi wapelekewa huduma za afya
Na Mwanajuma MmangaKITENGO cha Elimu ya Afya kimeandaa mpango maaalum wa kutoa huduma za afya kwa watoto katika shehia ya Kandwi ili kuwapunguzia masafa ya kufuata huduma za afya.Hatua hiyo imekuja...
View Article