Wananchi katika Mji wa Chake chake wakiwa katika harakati za maandalizi ya kutafuta mahitaji kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid Alhajj inayotarajiwa kuadhimishwa mwishoni mwa wiki hii kuungana na Waumini wa Dini ya Kiislam Duniani baada ya kufanyika Ibadaa ya Hijja inayofanyika Nchi Saudi Arabian Makka.
Mfugaji wa Mbuzi akiwa na mifugo yake akipeleka marikiti Chakechake katika marikiti hiyo mbuzi mkubwa aliouzwa kwa shilingi laki moja na zaidi, Eid Haljj Waumini wa dini ya Kiislam huadhimisha sikukuu hii kwa kuchinja kwa mtu m,wenye uwezo.
Hali ya Harakati katika Mji wa Chakechake Pemba wakiwa katika kukamilisha maandalizi ya Sikukuu ya Eid Alhaj.
Mambo ya maandalizi hayoo katika Mji wa Chakechake pemba.Wananchi wakiwa katika mtaa wa miembeni Chakechake wakipata huduma ya bidhaa za nguo kwa ajili ya watoto wao kuweza kusherehekea kwa vizuri.