NMB yachangia 10m/- Kibaigwa
Na Fatina Mathias, DodomaBENKI ya NMB imetoa msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya skuli na hospitali katika kata ya Kibaigwa ikiwa ni jitihada za kuwashukuru wananchi kwa kuendelea kuwaunga...
View ArticleWaathirika wa ubakaji watoa kauli
Na Haji Nassor, PembaWaliobakwa na kisha kuozwa waume katika wilaya ya Wete mkoa wa kaskazini Pemba, wamesema ndoa za mkeka zinazofungwa kama sulhu, zinachangia kwa kiasi kikubwa kasi ubakaji katika...
View ArticleWauza kuku Darajani wapewa kifaa cha kuchujia manyoya
Na Zainab AnuwarMkurugenzi wa Manispaa Zanzibar, Abedi Juma Ali, wamewataka wafanyabiashara wa soko la kuku Darajani kufanya shughulia katika hali ya usafi.Aliyasema hayo wakati akizindua kifaa cha...
View ArticleRais Kikwete Afungua Rasmin Barabara ya Mwenge - Tegeta Jijini Dar-es-Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya...
View ArticleMaadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani.(WAZEE WASIACHWE NYUMA TUJENGE JAMII...
Na.Mwashungi Tahir Maelezo.Iko haja kubwa jamii kuwaheshimu wazee kwani bila ya wao kutulea kwa kutupa malezi mazuri kwa kutusomesha tusingelikuwa leo tuko hapa.Hivyo iko haja kuwatunza , kuwalea na...
View ArticleYaliojiri Dodomo leo Bunge la Katiba.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa. Mjumbe wa...
View ArticleMaadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani viwanja vya Dole Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mhe. Abdallah Mwanyi Khamis akiwahutubia Wazee katika maaadhimisho ya siku ya Wazee Dunuiani(kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Wastawi wa jamii, Vijana Wanawake na Watoo...
View ArticleDK.Shein Azungumza na Uongozi wa Kampuni ya ZANCHICK.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue)kutoka Marekani...
View ArticleMkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa AATO Wafanyika Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Ndg, Mbwana J.Mbwana akifungua Mkutano wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika, akihutubia wakati wa ufunguzi...
View ArticleWadau Kumradhini kwa Tatizo lililojitokeza katika Mtandao kuingiliana. bila...
Asalamu Aleykum. Kumradhini kwa kwa tatizo lililotokea kuingiliana na Mtandao na kupata simu kwa baadhi ya Wadau wetu kuliona hilo tatizo na kutuarifu.Tunaomba radhi sana kwa wananchi waliokumbana...
View ArticleMalindi yalalamikia kadi za manjano
Na Ali CheupeTimu kongwe ya soka visiwani Zaznibar, Malindi ambayo inashiriki ligi kuu ya Grand Malt imelalamikia kitendo cha wachezaji wake kuonyeshwa kadi za manjano bila ya utaratibu. Akizungumza na...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI DAR LEO
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo...
View ArticleMatukio katika Picha Vivutio vya Watalii Wanaofika Pemba.
PAMOJA na makumbusho haya ya msikiti wa wahindi jamii ya mabohora, uliopo kijiji cha Jambangome wilaya ya Mkoani Pemba, kusemekana kama ndio eneo la mwanzo kuhamiwa kisiwani Pemba tokea karne ya 18...
View ArticleMAJAJI WAENDESHA MAHAKAMA YA WAZI KUSIKILIZA NA KUPOKEA MALALAMIKO YA...
Jaji Mh. Richard Mziray Akitoa Hukumu katika Mahakama ya wazi katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa...
View ArticleWaandishi wa Habari Ziarani Nchini India.
Waandishi na maafisa habari wa nchi mbali mbali wakitembelea majengo ya kihistoria katika miji ya Agra na Jaipur, Kaskazini mwa India. Mbele kulia ni mwandishi Hassan Hamad wa (OMKR). (Picha zote kwa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal ahudhuria Kongamano la Biashara la Kimataifa kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika majadiliano kuhusu utengamano wa Afrika na Fursa za biashara na Uwekezaji Katibu na Jumuiya ya Afrika...
View Article