Mratibu wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongochekundu Ndg, Suleiman Abduu, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na maadhimisho ya Siku ya Wagonjwa wa Akili duniani huadhimishwa kila mwaka Oktoba 10, mazungumzo hayo yamefanyika katika hospitali ya kidongochekundu kwa michezo mbali kwa kujumuika na Wafanyakazi wa hospitali hiyo katika michezo mbalimbali ya bao la keti, draft na keram na kwa Wanawake wakichora Amesema hospitalini hapo wanapata changamoto nyingi kwa wagonjwa wanaofika hospitalini hapo na kukabiliwa na upungufu wa madawa kwa ajili ya wagonjwa hao inawadidi wajinunulie dawa nje ya hospitali hiyo na baadhi ya maduka ya dawa dawa hizo huziuza kwa bei ya juu ikiwa hospitalini hapo hakuna dawa hizo.
aradhi ya Akili akicheza Drafti na Mfanyakazi wa hospitali hiyo wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wagonjwa wa Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka 10, Oktoba. maadhimisho hayo yamefanyika katika majengo ya hospitali hiyo kidongochekundu Zanzibar.
Wagonjwa wa Akili wakicheza karata wakiadhimisha siku ya wagonjwa wa akili duniani