Ligi Kuu Polisi na Zimamoto Amaan.
Mshambuliaji wa timu ya Polisi Khamis Abdurahaman akizuiya mpira huku beki wa timu ya Zimamoto Shafi Hassan akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa...
View ArticleIndia yapiga hatua katika kuwapatia visaidizi walemavu
Waandishi wa habari kutoka nchi mbali mbali wakiangalia viungo bandia vya binadamu, walipotembelea kituo kikuu kinachotengeneza viungo hivyo nchini India.Waandishi wa habari kutoka nchi mbali mbali...
View ArticleMaadhimisho Siku ya Wagonjwa wa Akili Duniani
Mratibu wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongochekundu Ndg, Suleiman Abduu, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na maadhimisho ya Siku ya Wagonjwa wa Akili duniani huadhimishwa kila mwaka...
View ArticleDk Shein ateua makadhi wapya wa Wilaya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya Uteuzi wa Makadhi wa Wilaya za Unguja na Pemba.Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi...
View ArticleWaziri Mbarouk ateua wajumbe watatu BTMZ
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk amewateua Wajumbe watatu kuwa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Michezo la Zanzibar.Wajumbe hao ni Ndugu Ameir Mohamed Makame kutoka...
View ArticleMaafisa wa Tasaf Watembelea Wananchi katika Kaya Zao Pemba,
Muwezeshaji kutoka TASAF Pemba, Suleiman Ali Said akizungumza na wananchi walengwa wa shehia ya Ndagoni wilaya ya Chakechake Pemba, kwenye mkutano maalumu wa kuitambulisha miradi ya kuwapatia ajirza za...
View ArticleSiku ya mtoto wa kike kuadhimishwa Tarime
Na Mwandishi wetuChama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) na mashirika mengine yasiyo ya kiserikali, leo...
View ArticleMahujaji waanza kurudi
Na Mwanajuma MmangaJumla ya Mahujaji 391 wanatarajiwa kurudi nyumbani leo wakitokea Makka Saudi Arabia baada kukamilisha ibada yao ya Hijja.Wanatarajiwa kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la Oman...
View ArticleWahimizwa kuvitumia vituo vya afya
Na Madina IssaMkuun wa Wilaya ya kati Unguja, Vuai Mwinyi, amewataka wananchi kuvitumia vituo vya afya na hospitali na kuacha tabia ya kutumia dawa za miti shamba.Aliyasema hayo alipokuwa akizungumza...
View ArticlePicha na matukio kutoka Pemba
IKIWA ni miaka 50 tokea kuanzishwa kwa skuli ya sekondari ya Fidel castro iliopo wilaya ya Chakechake Pemba, bado skuli hiyo kongwe haina uzio, na kusababisha wananchi kuingia katika maeneo hayo...
View ArticleTeknolojia yasaidia kupunguza matumizi ya barua
Na Fatuma Kitima, Dar es SalaamWIZARA ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, imeeleza kuwa kutokana na kuongezeka matumizi ya teknolojia duniani, uandishi wa barua umepungua miongoni mwa watu hasa...
View ArticleTawaaf Msikiti wa Makkah 2014
Mahujjaaj wakiendelea na Tawaaf katika Baytul Haraam. Kutufu ni kuiznguka Al Ka'abah mara saba ambayo ni mojawapo katika Manaasik ( Ibada za Hajj) Msikiti wa Makkah ulivyofurika msimu wa Hajj wote...
View Article‘Muuguzi mmoja wa akili hutibu wagonjwa 100’
Na.Aboud Hussein na Simai MatiSERIKALI ya Zanzibar inakabiliwa na upungufu mkubwa wa waauguzi wa afya ya akili katika hospitali kuu ya wagonjwa wa akili ya Kidongochekundu, hali inayosababisha...
View ArticleJaji Mshibe awachimba mkwara wananchi kukimbilia mahakamani
Na Masanja Mabula, PembaMwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar, Jaji Mshibe Ali Bakar, ameitaka jamii kuacha tabia ya kukimbilia mahakamani kupata haki kwa sababu kesi nyingi zinazofikishwa...
View ArticleBalozi Seif Akabidhi Vifaa kwa Wananchi wa Jimbo lake
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Al Iddi akikagua mradi wa maji safi na salama wa Kijiji cha Kichungwani Jimbo la Kitope mara baada ya kushiriki kazi za ujenzi wa Taifa za kulaza Bomba la Maji....
View ArticleBalozi Seif Afanya ziara Jimboni kwake na kukabidhi Vifaa mbalimbali.
Na Othman Khamis OMPR.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Taasisi na mashirika ya kimataifa yanayojihusisha na masuala ya mafuta na gesi yameanza...
View ArticleAdaiwa kumbaka mjomba wake
Na Kija Elias, MoshiMKAZI mmoja wa eneo la Sabuko kata ya Ibiriri wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitatu,na kumsababishia maumivu makali sehemu zake za...
View Article