Vitambulisho vya NIDA vyasifiwa
Na Amina Omari, TangaUAMUZI wa serikali kuchagua teknolojia ya SMART CARD kutumika katika vitambulisho vinavyozalishwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeipa Tanzania sifa kubwa barani...
View ArticleMtoto afariki akiogelea Zanzibar Park
Na Khamisuu AbdallahMTOTO Shafik Shaisu Othman (10) mkaazi wa Fuoni, amefariki dunia wakati akiogelea katika bwawa la kuogelea liliopo katika bustani ya wanyama Zanzibar Park, wakati akisherekea...
View ArticleWavuvi waaswa kuchukua tahadhari kujikinga na Ebola
Na Asha Salim, PembaWAVUVI katika wilaya ya Micheweni wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola hasa wanapokuwa dago nje ya kisiwa cha Pemba.Tahadhari hiyo imetolewa na...
View ArticleViongozi Chadema Wawasili Pemba.
Viongozi wa Chadema wakiwapungia mikono wananchi waliofika kuwapokea Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba baada ya kuwasili kisiwani humo kwa mkutano wao Wakiwa na Katibu Mkuu wa Chadema Slaa.Katibu...
View ArticleMbunge wa Jimbo Kikwajuni Mhe Hamad Masauni Afufua Kongamano la Vijana...
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Yussuf Masauni akitowa Mada katika Kongamalo la kuzungumzia Katiba Mpya ya Tanzania baada ya kupitishwa na Bunge Maalum la Katiba lililom,alizia kazi hiyo wiki...
View ArticleMama Asha Balozi Akabidhi Vifaa kwa Vikundi vya Wanawake
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akizungumza na wananachi na wanavikundi vya ushirika katika kijiji cha Mvuleni Kidoti kutekeleza ahadi aliyowapa hivi karibuni ya...
View ArticleMama Asha Balozi Awataka Wananchi Kujitafutia Maendeleo.
Na.Othman Khamis Ame. OMPRWananchi wameombwa kuendelea na harakati zao za kujitafutia maendeleo baada ya kumalizika kwa bunge Malum la Katiba hivi karibuni na kuachana porojo zinazopigwa na baadhi ya...
View ArticleRais Kikwete Aongoza Waombolezaji Kutoa Heshima kwa Mwili wa Marehemu...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es...
View ArticleTasaf Yatowa Mafunzo ya Kuibua Miradi kwa Wananchi wa Kaya Masikini
Wananchi wa Shehia ya Junguni Jimbo la Gando kisiwani Pemba wakiwa katika mafunzo ya kuibua miradi kunusuru Kaya Masikini mradi unaosimasmiwa na Tasaf 3, kuwainua Wananchi katika kipato kupitia mradi huo.
View ArticleBalozi Seif Atembelea Miradi ya NSSF Dar. leo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Menaja Mradi wa NSSF Mhandisi Karim Mattaka kulia yake na afisa wa Mfuko huo Bibi Maryam Muhaji wakikagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni...
View ArticleBalozi Seif Atembelea Ujenzi wa Daraja la Kisasa Kigamboni Dar.
Na Othman Khamis. OMPR.Mradi mkubwa wa ujenzi wa Daraja la Kisasa linalojengwa katika eneo la Kigamboni Jijini Dar es salaam unatarajiwa kuanza kutoa huduma rasmi Mwezi Julai mwaka ujao wa 2015 baada...
View ArticleKongamano la Maadhimisho ya Siku ya Maafa Kimataifa Pemba.
Afisa tawala Mkoa wa Kaskazini Pemba, Khamis Salum Mohamed akifungua kongamano la siku ya Maafa kimataifa, ambalo huadhimishwa kila ifikapo Oktoba 13 ya kila mwaka, lililowashirikisha walimu wa skuli...
View ArticleMbunge wa Kikwajuni Atembelea Mradi wa Maji Jimboni
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Yussuf Masauni ametowa changamoto kwa Wanasiasa kutatua matatizo ya Wananchi kwa vitendo badala ya kutumia matatizo hayo na kero zao kwa kujinufaisha wao.Amesema...
View ArticleMbunge wa Kikwajuni Atembelea Mradi wa Maji Jimboni
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe.Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar wakiwa katika harakati za kuunga mabomba ya maji kwa ajili ya Mradi Mkubwa wa maji...
View ArticleKupata Habari kupitia Magazeti
Wananchi wakipitia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali yaliotoa habari za ndani nje ya nchi kuona gazeti lipi lina habari nzuri n a kuweza kununua kupata habari zaidi
View Article