Afisa tawala Mkoa wa Kaskazini Pemba, Khamis Salum Mohamed akifungua kongamano la siku ya Maafa kimataifa, ambalo huadhimishwa kila ifikapo Oktoba 13 ya kila mwaka, lililowashirikisha walimu wa skuli mbali mbali za mkoa huo, huko katika ukumbi wa Jamhuri Holl Wete.
Kaimu Mratib wa Idara ya kukabiliana na maafa Pemba, Ali Salum Ali, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo tafauti vya habari Zanzibar, katika maadhimisho wa siku ya Maafa kimataifa lililofanyika huko Wete Mkao wa Kaskazini Pemba.
Afisa Elimu Wilaya ya Micheweni Mwalimu Mbwana Shaame,akitoa neon la shukurani kwa niaba ya walimu wenzake, katika kongamano ya maadhimisho la siku ya maafa kimataifa, lililoandaliwa na Idara ya kukabiliana na Maafa Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)