Wagonjwa 65,000 wenye ulemavu wawezeshwa Wapatiwa visaidizi, matibabu nchini...
Na Hassan Hamad, India.Kiasi cha wagonjwa 65,000 wenye ulemavu wa aina tofauti wanapatiwa visaidizi pamoja na matibabu kila mwaka nchini India, hatua ambayo huwawezesha kuendelea na shughuli zao za...
View ArticleNg’ombe, Mbuzi 201 waugua maradhi ya kiwele
Na Laylat KhalfanNgombe na Mbuzi wapatao 201 wamegundulika kuwa na ugonjwa wa viwele baada ya kufanya uchunguzi katika kipindi cha kuanzia Januadi hadi Septemba mwaka huu.Akizungumza na mwandishi wa...
View ArticleUlinzi baharini wakabiliwa na changamoto
Na Hafsa GoloLicha ya serikali kujipanga kuhakikisha inaimarisha ulinzi na usalama katika maeneo ya ukanda wa bahari,bado kumekuwa kukijitokeza changamoto mbali mbali kunakosababishwa na upungufu wa...
View ArticleZATU yasifia muundo wa walimu
Na Khamisuu AbdallahChama cha Walimu Zanzibar (ZATU) kimeipongeza serikali kwa kuweka muundo mzuri wa utumishi ambao umeonesha matumaini mema kwa walimu.Akizungumza na vyombo vya habari, Katibu Mkuu...
View Article30m/- kujenga kingo za barabara Chanjaani
Na Abdi Suleiman, PembaWizara ya Miundombinu na Mawasiliano Pemba, imeamua kuifanyia matengenezo barabara ya Chanjaani-Mkoani, kwa kuijenga kingo za kupitishia maji ya mvua, zitakazo gharimu shilingi...
View ArticleJK:Wananchi ndio wenye maamuzi
Na Mwandishi wetu, TaboraRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete, amesema serikali imeanza kuchukua hatua kuandaa kura maoni kuhusu katiba mpya na kuwataka wananchi siku...
View ArticleKama si Nyerere nisingekuwa Rais- Mwinyi
Na Mwanajuma Abdi, Dar es SalaamRAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Ali Hassan Mwinyi, amesema kuna kila sababu ya kumuezi hayati Mwalimu Nyerere, kwa kuwa alikuwa ni kiongozi wa mfano...
View ArticleProf.Mazrui afariki
NAIROBI,KenyaMsomi mashuhuri katika ukanda wa Afrika Mashariki na dunia, Profesa Ali Mazrui, ameaga dunia nchini Marekani.Mazrui raia wa Kenya alikuwa msomi wa maswala ya kisiasa, utamaduni wa kiafrika...
View ArticleChina yafadhili wanafunzi 22 shahada ya kwanza
Na Hafsa GoloWanafunzi 22 wanaokwenda masomoni nchini China, wanaondoka nchini kesho na Alkhamis tayari kuanza masomo yao ya shahada ya kwanza kwa kipindi cha miaka minne. Wanafunzi hao watajifunza...
View ArticleLigi Kuu kati ya Kipanga na Polisi zimetoka sare ya 0--0
Mchezaji wa timu ya Kipanga Masoud Mohammed, akimpita mchezaji wa timu ya Polisi Suleiman Mohammed wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa amaan timu hizo zimetoka sare...
View ArticleMtoto atupwa ziwani
Na Madina IssaWatu watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti katika mkoa wa mjini magharibi, akiwemo mtoto mchanga kutupwa katika ziwa la Mwantenga.Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini magharibi,...
View ArticleTani 11 za mwani zauzwa nje
Na Laylat KhalfanShilingi milioni 41 zimepatikana baada ya Kitengo cha Usarifu na Masoko, kusafirisha tani 11 za mwani kuanzia Julai 2013 hadi Juni 2014.Mkurugenzi wa Idara ya mazao ya baharini,...
View ArticleMwanamke amkata ulimi muuza baa akilazimisha mapenzi
Na Joseph Ngilisho,ArushaKatika hali isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa Kimandolu jijini Arusha, Paulo Simon (18) amelazwa hospitali ya mkoa Mount Meru, baada ya kubakwa na kisha kukatwa ulimi...
View ArticleWawania kulea mtoto alietupwa
Na Madina IssaIdara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar, imesema mtoto aliyetupwa katika pwani ya Mawe matatu maeneo ya Migombani, anaendelea vizuri na kwa sasa yupo...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt.Mohammed Gharib Bilal Azinduwa Rasmin Ukumbi wa Mikutano...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Askofu Tarcius Ngalekumtwa, wakati...
View ArticleSerekali Itaendelea Kutatua Mizozo ya Wakulima na Wafugaji
Na Othman Khamis. OMPR.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali itaendelea na juhudi zake katika kuona mazao ya wakulima vijijini hasa chakula cha nafaka { Mahindi }...
View ArticleT.I kuzindua mavazi yake jijini Dar es Salaam
Baada ya Tamasha la Fiesta kutangaza rasmi kuwa rapa na mshindi wa tuzo za Grammy, T.I wa Marekani kuwa ndiye msanii mkubwa wa kimataifa atakayekuja kutoa burudani siku ya kilele chake hapa Dar es...
View ArticleSpecial Dar es Salaam launch of T.I. clothing line announced
Just when you thought that Serengeti Fiesta 2014 could not get any bigger especially following the announcement that the Grammy Award winning rapper T.I. would be headlining the show, it was announced...
View ArticleUfunguzi wa Mkutano wa Majiji na Manispaa Jijini Mwanza.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ndg.Zuberi M.Samataba, akifungua Mkutano wa Halmashauri za Majiji na Manispaa kutunza na kuhifadhi miradi ya...
View Article