Bayport Tanzania yazindua huduma mpya ya Mikopo ya bidhaa
Meneja wa Masoko na mawasiliano wa taasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania, Ngula Cheyo (katikati) akiongea na wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma ya Mikopo ya...
View ArticleMwanafuni afariki, watano wajeruhiwa
Na Masanja Mabula,PembaMwanafunzi wa kidato cha nne katika skuli ya sekondari ya Limbani, amefariki dunia papo hapo na wengine watano kulazwa hospitali ya Wete, baada ya kugongwa na gari katika eneo...
View Article‘Watoto 8,000 wanapewa ujauzito kila mwaka’
Na Mwanajuma Abdi, Dar es SalaamTakwimu za Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa,(UNICEF), zinaonesha takribani watoto wa kike 8,000 wanakatisha masomo kila mwaka nchini kutokana na kupewa...
View ArticleBalozi Seif Afanya Ziara Mkoani Ruvuma.
Balozi Seif akihutubia waumini wa dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Peramiho alipofanya ziara fupi na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti huo.kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambae...
View ArticleMakamu wa Rais Balozi Seif Ziarani Ruvuma
Na Othman Khamis, OMPR.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Taifa la Tanzania hivi sasa linahitaji kuendelea kuwa na hali nzuri ya amani kuliko wakati mwengine wowote...
View ArticleLigi Kuu KMKM na Mafunzo Amaan Zenj
Mchezaji wa timu ya Mofunzo Said Mussa akiondoa mpira galini kwake wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malr, uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Mafunzo imeshinda 1--0. Benchi la ufundi...
View ArticleAjali Gari Muembenjugu
Gari ikiwa imeingia mtaroni katika barabara ya muembenjugu wakati ikiwa katika safari yake na kuteleza katika mtaro huo katika ajali hiyo hakuwa mtu aliyejeruhiwa
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Miembeni na Malindi Amaan
Mchezaji wa timu ya Miembeni Suleiman Ali akiwapita wachezaji wa timu ya Malindi, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar iliofanyika uwanja wa amaan,timu ya Malindi imeshinda 3--2 Golikipa wa timu ya...
View ArticleTASAF Yawapiga Msasa Walimu na Madaktari na Wasimamizi wa Miradi ya Mfuko.
Mkurugenzi wa miradi ya Jamii ya TASAF, Tanzania Amadeus Kamagenge, akifungua mafunzo ya siku mbili kwa waalimu, madaktari na wasimamizi wa miradi ya mfuko huo, kwa walengwa kutoka shehia zilizomo...
View ArticleMarie Stopes Tanzania Yazindua Mradi Mpya wa Huduma Kamilifu kwa Kinamama.
Meneja Mradi wa huduma kamilifu kwa kinamama baada ya kuharibika kwa mimba Ngitoria Lemonduli akielezea malengo ya mradi huo mpya uliozinduliwa katika ukumbi wa Hoteli ya Mazsons Shangani, Mjini...
View ArticleRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Amuapisha...
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika...
View ArticleWanafunzi wakiwa katika Chumba cha Mitihani
Wanafunzi wa Ngazi ya Cheti na Diploma wa fani mbali mbali ikiwemo ya Sheria na Utawala, wa Chuo cha Z.C.B.E kilichopo Vitongoji wilaya ya Chakechake Pemba, wakiendelea na mitihani yao ya mwaka,...
View ArticleTangazo la Kazi la East African Community
EAST AFRICAN COMMUNITY EXCITING EMPLOYMENT OPPORTUNITIESOur client The East African Community (EAC) is the regional intergovernmental organization of the Republic of...
View ArticleZanzibar Yazindua Chanjo ya Surua na Rubella
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Jamala Adam Taib akielezea utaratibu wa kampeni ya chanjo ya Surua na Rubela pamoja na matone ya Vitamin A na dawa za minyoo itakavyoendeshwa katika...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt Bilal Ahudhuria Sherehe za Kuwekwa Wakhfu Mteule wa Kanisa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana nabaadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo,...
View ArticlePresident Kikwete Officiates at the CCN Multichoice African Journalist Award...
Tanzanian songbird Lady Jay Dee sings the National Anthem at the opening of Gala Awards ceremony held at the Mlimani City Conference Centre, in Dar es Salaam on Saturday October 18, 2014. President...
View Article