Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Tawaaf Msikiti wa Makkah 2014

$
0
0
Mahujjaaj wakiendelea na Tawaaf katika Baytul Haraam. Kutufu ni kuiznguka Al Ka'abah mara saba ambayo ni mojawapo katika Manaasik ( Ibada za Hajj)

 Msikiti wa Makkah ulivyofurika msimu wa Hajj wote wakiwa katika ibaadah. picha hii ilipigwa baada ya salal ya Alfajiri kutoka ghorofa ya pili Haram.
 Wazee , watoto, kike kwa kiume wakiendelea na Ibada ya Tawaaf. Haram . Al Ka'abah ni sehemu pekee ambapo mchanganyiko kati ya wanawake na wanaume katiba Ibada umeruhusiwa
Wanaofanya ibada ya Tawaaf wakiashiria mbele ya Hajarul aswad ( jiwe jeusi) sehemu ambayo huanzia na kumalizia Tawaaf
Hapa ni karibu na Maqaam Ibraahiym, sehemu ambayo Nabii ibraahiym 'Alayhi Salaam alikuwa akisimama kufanya Ibada. Ni sunnah kusali rakaa mbili baada ya kumaliza Tawaaf nyuma ya Maqaam Ibraahiym,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>