Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Picha na matukio kutoka Pemba

$
0
0
 
BAADA ya kumalizika kwa sikukuu ya Idd el Fitr hivi karibuni, baadhi ya wafanya biashara wa nguo katika eno la Juwakali katika soko la Chake Chake, wameanza kuvunja vibanda vyao na kuliweka eneo hilo kurudi katika hali ya kawaida, kamalinavyoonekana katika picha. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.).


Kufuatia kupatikana kwa wingi samaki, wavuvi kutoka sehemu mbali mbali kisiwani Pemba, hulazimika kuwapakia katika daladala na kuwakimbiza maeneo ya mjini, kama inavyonekana daladala yenye No 606 ya Wete-chake, ikizongwa na wananchi wakinunua samaki hao, kama wanavyoonekana katika Picha. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>