Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Tanzania Bw. Assah Mwambene akiongea na Balozi wa Cuba nchini Tanzania. Mh. Jorge Lopez Tormo kuhusiana na mambo mbalimbali yanayohusiana na tasnia ya Habari baina ya Tanzania na Cuba.
Balozi wa Cuba nchini Mh. Lopez Toronto akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati Balozi huyo alipomtembelea Bw. Mwambene Ofisini kwake leo (jana), katika mazungumzo yao walijadiliana kuhusu maendeleo ya Tasnia ya Habari baina ya nchi hizo mbili.Picha na Benjamin Sawe. Maelezo Dar.