Dkt. Bilal Aagana na Balozi wa Boswana Nchini Tanzania.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake...
View ArticleDkt.Bilal Akutana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana...
View ArticleKocha Moroco Atangaza Kikosi chake Cannavaro, Morris, Mwadini warejeshwa...
Wachezaji Nadir Haroub 'Cannavaro', Aggrey Morris na mlinda mlango Mwadini Ali, wamerejeshwa katika kikosi cha timu ya taifa ya soka Zanzibar, 'The Zanzibar Heroes'.Akitangaza wachezaji watakafanya...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Shaba na Chuoni Amaan leo
Mashabiki wa timu ya Shaba wakishangilia timu yao wakati ikicheza na timu ya Chuoni katika uwanja wa Amaan, jioni leo na katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 1--1.Mchezaji wa timu ya Shaba...
View ArticleRich Mavoko kupiga shoo ya Instagram Part Zanzibar
NA ANDREW CHALEMSANII nyota nchini, Richard Martin maalufu Rich Mavoko anatarajiwa kutumbuiza kwenye shoo kali na ya aina yake ya Instagram Part Zanzibar itayofanyika ndani ya Zanzibar Beach hotel,...
View ArticleTaarifa ya Nafasi za Kazi Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye Makao yake Mjini Arusha Tanzania inatangaza Nafasi za Kazi kwa Vijana wenye Sifa zilizotajwa hapo chini.Kamishine ya Utamaduni Zanzibar inawatangazia Wazanzibari wote...
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Habari Afungua Mafunzo Elekezi ya Utumishi
 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw. Barnabas Ndunguru akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga (hayupo Pichani)...
View ArticleDk.Shein Ampongeza Rais Mpya wa Indonesia Mhe,Joko Widodo.
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                                   24 Oktoba, 2014TAARIFA KWA VYOMBOVYA...
View ArticleYOUTH FOR AFRICA (YOA) YATAMBULISHA TUZO ZA UNDER 30
PREES RELEASEIntroducing Under-30 Youth Awards and Call For NominationsYouth For Africa (YOA), a National Youth led Organization based in Dar es Salaam wishes to inform the esteemed media and General...
View ArticleTanzania na Cuba kuendelea kushirikiana katika sekta ya habari
Mkurugenzi  Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Tanzania Bw. Assah Mwambene akiongea na Balozi wa Cuba nchini Tanzania. Mh. Jorge Lopez Tormo kuhusiana na mambo mbalimbali yanayohusiana na tasnia...
View ArticleKutoka Baraza la Wawakilishi
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwahi kuhudhuria Kikao cha Baraza la Wawakilishi cha asubuhi wakiwa katika viwanja vya jengo hilo.Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano...
View ArticleRC ahimiza uoteshaji miche ya mikarafuu
Na Zuhura Juma, PembaMkuu wa Mkoa wa kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, ameitaka Wizara ya Kilimo kuongeza bidii ya kuotesha miche ya mikarafuu na kuigawa kwa wakulima.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleDC Kilindi asifu maendeleo Pemba
Na Haji Nassor, PembaMkuu wa wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Suleiman Salim, amesema sio kweli kwamba kisiwa cha Pemba hakijapiga hatua ya kimaendeleo, kama baadhi ya wanasiasa wanadavyodai wanapokuwa...
View ArticleWatakiwa kutowatumikisha watoto
Na Zainab AnuwarWazazi na walezi wameshauriwa kutowafanya watoto wao vitega uchumi na kuwafanyisha kazi ngumu.Kauli hiyo imetolewa na Mwalimu Mkuu wa skuli ya msingi Uzini wilaya ya kati, Silima Haji...
View ArticleZEPHE kurekebisha katiba yao
Na Kauthar AbdallaKUNA umuhimu wa kutolewa elimu ya sheria za kazi kwa wafanyakazi na wanachama wa vyama vya wafanyakazi ili wajue mahitaji yao ya msingi.Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Chama cha...
View ArticleDkt. Migiro: Wanafunzi Taasisi ya Mufunzo Uanasheria sasa kupata mikopo
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akikagua Jengo la Mahakama ya Mafunzo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania leo (Ijumaa, oktoba 24, 2014) jijini Dar es Salaam....
View ArticleSaba wafariki wakiiba umeme
Na Kija Elias, MoshiWatu saba wamefariki dunia mkoani Kilimanjaro, akiwemo mzee mwenye umri wa miaka 83, katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Oktoba mwaka huu, baada ya kunaswa na umeme kutokana na...
View Article